Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Bajeti hiyo mkuu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ety kuhonga
Hajui kwamba ni sehemu ya life.. kuhonga.. hahahahhaBajeti hiyo mkuu[emoji3][emoji3]
ni sehemu ya life baba... hahahaππππ Ety kuhonga
mkuu upo sure kweli... maana ni serikalini..Ni 3.5m
Niko serious kama ww ulivyo serious kutaka kuhonga mshahara kabla hujapata kazimkuu upo sure kweli... maana ni serikalini..
Ni sawa tuu na TGS DNisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?