PS5: Hii ndio final fight katika game ya God of War Ragnarok

PS5: Hii ndio final fight katika game ya God of War Ragnarok

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu).

Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.

 
Inachezeka kwenye PC...?
nilivyofuatilia itatoka 2024

"Hearing this, we can be pretty sure that a PC version of Ragnarök won't release before November 2023; probably even a bit later, but not as late as the prequel. Looking at when Sony released their former PlayStation exclusives on PC, we'd expect a release in mid or late 2024"
 
Back
Top Bottom