PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ Jumatano

Nasikia bosi wa la liga amesema hawatakubali malipo ya psg kwenda barca sababu psg wamekiuka sheria ya financial fair play(FFP)
Hispania wana makodi ya juu sana Nina wasiwasi hata masuper star wengine kwenda pale itakuja kuwa shida
 
Neymar amewasili Portugal na ndege binafsi kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu ya PSG kwa ada ya pauni milioni 198 kiasi ambocho kinamfanya kuweka rekodi ya dunia akitokea Barcelona.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazili amewasili Porto usiku wa Jumatano mara baada ya kuuwambia uongozi wa Barca kuwa anahitaji kuondoka na kujiunga na matajiri wa Ufaransa PSG kwa dili ambalo litamuhakikishia kulipwa pauni 500,000 kwa wiki(1.5B tsh)

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, hakufanya mazoezi na Barcelona siku ya Jumatano na amepatiwa ruksa ya kuondoka katika klabu hiyo.

Mtandao wa Barcelona umetoa maelezo kuwa “Neymar Jr, akiwa na Baba yake na wakala wake wamethibitisha kuondoka kwa mchezaji huyo baada ya kukaa kikao na ofisi za klabu hiy



What goes around always comes around
 




What goes around always comes around
 
Mbona watu wa hispania wanaanza kuleta SIASA aisee
ina mana neymar anaichezea hispania ama barca?
Yani mimi nangojea mshahara wa bilioni 1.5 kwa wiki halafu mnanizuia aise patachimbika hio nchi siku hio

What goes around always comes around
 
Mbona watu wa hispania wanaanza kuleta SIASA aisee
ina mana neymar anaichezea hispania ama barca?
Yani mimi nangojea mshahara wa bilioni 1.5 kwa wiki halafu mnanizuia aise patachimbika hio nchi siku hio

What goes around always comes around

Kitu tayari, wino ushamwagwa kandarasi la miaka 5. Pesa bwanaaa daaah.
 
Kitu tayari, wino ushamwagwa kandarasi la miaka 5. Pesa bwanaaa daaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi


Noma hii bwana ...sasa mji mzima wa PARIS ni NEYMAR tu kila mahali

What goes around always comes around
 

baba ake ni wakala wake sio meneja wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…