Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayo ni mawazo ya kimasikini sana !anafungwa madrid na barca iweje PSG
Wale vikongwe wana moto gani mjomba ?yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
Wale vikongwe wana moto gani mjomba ?yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
We mzenji nasikia leo Taifa stars inacheza na Zanzibar heroes?Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?
Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Bayern wako vizuri sana Mkuu, yaani ni moja ya timu ambazo ukiifunga huwezi kujisifu sana kwamba hawa hamna kitu. Bayern Jana kushinda ilikuwa lazima kwa gharama yoyote. Kifupi Jana walikuwa wanajibu hiyo...Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?
Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Nakubaliana na wewe Mkuu. Kuna madogo wawili Bayern huwa na wakubali saana, David Alaba na Kingsley Coman. Kwa Mpira wa Jihadi na Mchakamchaka hawa madogo ndiyo wenyewe yaani.yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
Siku zote Tanganyika haiiwezi Zanzibar kwa soka .We mzenji nasikia leo Taifa stars inacheza na Zanzibar heroes?
Kisa ka chana mkeka ndio atimuliwe??????Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?
Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Zanzibar heroes nao hamnaga chochoteSiku zote Tanganyika haiiwezi Zanzibar kwa soka .
Hivi huwa wanasoma nap Jf?Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?
Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
😀Kisa ka chana mkeka ndio atimuliwe??????