PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?

Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
 
yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
Wale vikongwe wana moto gani mjomba ?
 
We mzenji nasikia leo Taifa stars inacheza na Zanzibar heroes?
 
Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?

Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Bayern wako vizuri sana Mkuu, yaani ni moja ya timu ambazo ukiifunga huwezi kujisifu sana kwamba hawa hamna kitu. Bayern Jana kushinda ilikuwa lazima kwa gharama yoyote. Kifupi Jana walikuwa wanajibu hiyo...
 
yani psg walivyobahatisha kufunga buyern kipindi kile ukafikiri wakienda ujerumani watatoka salama, Buyern moto mwingine aisee
Nakubaliana na wewe Mkuu. Kuna madogo wawili Bayern huwa na wakubali saana, David Alaba na Kingsley Coman. Kwa Mpira wa Jihadi na Mchakamchaka hawa madogo ndiyo wenyewe yaani.
 
Sasa kwa akili yako ni coach gani ataweza kufit pale psg? Unai Emery ni kocha mzuri na mwenye uzoefu. Ana europa league 3 na Sevilla bado unamwona hafai.

Afu kitu kingine ile ilikuwa ni game ya kukamilisha ratiba tu.
 
Siku zote Tanganyika haiiwezi Zanzibar kwa soka .
Zanzibar heroes nao hamnaga chochote
Anway wafungeni ili tupate sababu zaidi ya kuomba wapiga domo waliojazana TFF watumbuliwe, kama itawezekana
 
Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?

Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Hivi huwa wanasoma nap Jf?
 
Vipi wamekuchania mkeka nini. Maana hilo povu halina mashiko
 
Mkuu nikukumbushe tu kuw ng'ombe hazeeki maini
 
wabongo wanapojipa usemaji wa team za ulaya...

endelea kulia na team za hapa bongo tu mkuu...

hao PsG hata humu Jf hawapo
 
Back
Top Bottom