PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

Lile babu la Bayern linajua sana. Kipindi kile wamewachabanga Barca nje ndani aliulizwa siri ya mafanikio ni nini. Akajibu kwamba alikusanya tapes za mechi 20 ambazo Barca alishinda vizuri na mechi kama 10 ambazp Barca alichezea kichapo then yeye na wachezaji wake wakaingia darasani. Sintoshangaa Bayern wakitwaa ndoo ya Champions League
 
Naunga hoja Unai Emery kashindwa PSG ana kila Resource anza na ile Game na Barca faida ya goli 4 akalambwa 6 juzi kabla ya kukutana na Bayern Munich kalambwa ligi ya Ufaransa na timu ya mwishoni kabisa.

Ila nakataa kuwa Bayern Munich ni Wabovu,Bundesliga wanaongoza ligi ukiwatoa Ribbery na Robben karibia wote wana umri wa kawaida tu,Colman,Kimmich,alcantara,Boateng,hummels,ulreich labda na Martinez javier ila wanapiga shughuli.

Waulize Arsenal mwenyewe barca kuna kipingi alikula 7G nje ndani.
 
Jamaa hisia zinamtawala Sana, kocha kufungwa game moja isiyo na madhara unafukuza, basi utafukuza wote.
 
Psg wakisajili world.class mido....Ntaiogopa kama wawili hivii watatisha mnoo.....Jr alizoea hata akijificha kene miguu na migongo ya mabeki hata saba....akiitaji pasi itafika tuuh..Sasa ugumu upo alipo sasa......Huezi mtegemea rabiot huezi kua serious aiseeee......NOTE: bayern yupo kene injury criss alcantara wamemkosa.......Mabosi wapsg wavunje kibubu tena ..wamlete isco au alcantara au continho wawil hapoo.....Jili waogopeke.kama wanavyotaka lakn...kwa hivii wakivyoo nahis hata besiktas watawatoa
 
Kaa ukielewa PSG walipiga mpira sana jana, ila Bayern waliwasoma ndo maana wakawachezea tofauti,
ukiangalia kwa makini utaona ule mpira wa Bayern jana kama angecheza na Man City , Chelsea, Man U ( wakiwa ktk ubora wao wa juu) . Bayern ingelala. na kwa ule mchezo wa PSG wa jana kama ingekutana na Hizo Hizo timu ( city, united, Chelsea ) PSG wangeshida.
 

Tolliso pia ni mtata...ndie kapiga mbili peke yake
 
Mkuu kwa hizo sababu ulizotoa hazina mashiko kabisa.


Baryen ni moja wapo wa timu zenye uwezo mkubwa sana ulaya.


ni rahisi baryen kubeba uefa kuliko psg kufika fainaly ya uefa.
 

Zanzibar heroes nao hamnaga chochote
Anway wafungeni ili tupate sababu zaidi ya kuomba wapiga domo waliojazana TFF watumbuliwe, kama itawezekana
Umepata matokeo ?
 
Sasa kwa akili yako ni coach gani ataweza kufit pale psg? Unai Emery ni kocha mzuri na mwenye uzoefu. Ana europa league 3 na Sevilla bado unamwona hafai.

Afu kitu kingine ile ilikuwa ni game ya kukamilisha ratiba tu.
Hata Man City nao wamefungwa na kitimu dhaifu je Guardiola afukuzwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…