Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Lile babu la Bayern linajua sana. Kipindi kile wamewachabanga Barca nje ndani aliulizwa siri ya mafanikio ni nini. Akajibu kwamba alikusanya tapes za mechi 20 ambazo Barca alishinda vizuri na mechi kama 10 ambazp Barca alichezea kichapo then yeye na wachezaji wake wakaingia darasani. Sintoshangaa Bayern wakitwaa ndoo ya Champions League