Lipo jambo kubwa linafichwa hapa. Haiwezekani hawa jamaa wanajenga majengo mapya karibu kila sehemu, halafu bila kujua wanaishia kukosa hela. Mi naona hizi taasisi nazo ziwe audited. Isije geuka vichaka vingine vya wizi.Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.
Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii msuli kuingiza mapato,serikali imeweka sheria ya wao kupata mapato,leo hii wameishiwaje hata kushindwa kulipa wanachama mafao?au ni janja ya walewale kujichukulia hela za uchaguzi?
Hela zimechangwa,wanafanyia biashara,zote hizi zipo wapi? Ebu wanachama na nyie waajiriwa wa hii mifuko mtueleweshe sisi kina waathirika, nchi hii itafika siku patakuwa hapatoshi hapa!
Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.

GAZETI LA HABARI LEO MAIN HEADLINE...NDIYO SOURCE..au bofya www.habarileo.co.tz
Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.
Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii msuli kuingiza mapato,serikali imeweka sheria ya wao kupata mapato,leo hii wameishiwaje hata kushindwa kulipa wanachama mafao?au ni janja ya walewale kujichukulia hela za uchaguzi?
Hela zimechangwa,wanafanyia biashara,zote hizi zipo wapi? Ebu wanachama na nyie waajiriwa wa hii mifuko mtueleweshe sisi kina waathirika, nchi hii itafika siku patakuwa hapatoshi hapa!
Tunaomba data za uhakika please....any supporting document will be added advantage!
TUPEWE SOURCE TAFADHALI USIKURUPUKE!!!!!!!!!!