PSPF, LAPF wamefuliaje?

mtu kama wewe hata upewe source bado utaitaka hiyo source ikupe source.

Kweli jambo kama hili hujalisikia. Hakuna kwingine unakosoma habari zaidi ya jf?


achana nae huyo..watu wa jinsi hiyo huwa hawana chakuandika wala kuchangia.. Source ni wale waliofuatilia na kupambana na hiyo hali kwamba haya mashirika hayana fedha ...na source si lazima iwe media .
 


Usipotoshe wasomaji kwa hadithi kama hizi. Come back to JF spirit.
Mbona Mkulo anasema wako hoi?

PPF payment is a wash-out.

Ni utoto mtu anafanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini, anastaafu ktk highest rank, unamlipa malipo ambayo ni jumla ya michango yake tu. Kumbuka ameanza kulipa miaka 20 iliyopita. Pesa hiyo leo hii ina maana ipi ktk maisha yake? Wakati huo wewe pesa yake unaifanyia biashara ya majengo.

PPF inatofautiana nini na chama cha kuweka na kukopa?

Hebu tetea mambo haya;
-PPF imelipa wakurugenzi wake 6 gratuit ya milioni 200 kila mmoja baada ya miaka 5 tu na kuwapa tena mkataba mpya,

-PPF inawapa supplementary scheme watumishi wake kwa kutumia michango ya wanachama (ikimaanisha wanafahamu ubovu wa malipo watowayo)

-PPF inalipa wastaafu kwa kuchanganya formula mbili, kabla ya 1989 na baada ya hapo, wakati wakijua kuna ammendment ilifanywa na Bunge 1989 utadhani hawana mwanasheria.

-Management inakuwa na bodi yenye wajumbe wa nje bila kujali fraction ya representation iliyotajwa ktk sheria.

-Madudu mengine ya kifisadi tuyaache maana yalisha zungumziwa hapa JF

What next do you want us to appreciate? Let us not consecrate the nonsense
 
SOSTHENES MWITA in Dodoma
Sunday News; Saturday,February 09, 2008 @19:03




THE University of Dodoma (UDOM) expects to accommodate about 5,000 students in five hostel blocks whose construction is currently in progress and should be over by August, this year, a project architect, Mr Mohamed Sumar, said here today.

Mr Sumar, who was briefing visiting members of the Parliamentary Committee for Social Welfare Development, said construction of classrooms and other requisite buildings would take off in May, this year, and should be over three months later.

The UDOM Vice Chancellor, Prof. Idris Kikula, told the committee, which was led by its chairperson, Ms Jenista Mhagama (Peramiho – CCM) that the site they had visited was the future College of Humanities and Social Sciences.

Mr Kikula also showed the MPs the site for the College of Informatics and Virtual Education that was visible from two kilometers away. The other four colleges will include the College of Education and the College of Life Sciences.

Others are the College of Health and Allied Sciences and the College of Earth Sciences. Architect Sumar, who took the legislators round the busy construction site, said each hostel block will have 218 accommodation rooms and will house about 1,000 students.

He also said each hostel block will have 20 sets of toilets and showers and 14 laundry rooms. The central courtyard will have covered terraces that will seat about 200 people and a parking lot for 300 cars, he said.

The hostels also have user-friendly facilities for disabled students. The vice chancellor said the master plan for each college includes sports facilities that would be located in the vicinity. He also said there would be a police post in the compound of each college and a major station near the university.

When complete the College of Humanities and Social Sciences would cover about ten hectares of land. It is adjacent to the Chimwaga Hall where the initial 1,300 students have their classrooms and other facilities. The students are temporarily housed in 100 residential quarters at Kisasa.

The National Social Security Fund (NSSF) have been contracted to build the College of Humanities and Social Sciences; PSPF would build the College of Education; PPF would construct the College of Computer Science, a library and the student centre, according to Prof. Kikula. PPF would also build the College of Earth Sciences and the College of Life Sciences.

The Abu Dhabi Fund has shown interest in financing construction of the College of Health and Allied Sciences and CRDB would build a road round the university. Prof. Kikula said the university faces a few challenges that need to be addressed.

He said the six-kilometre long road from the municipality to the university and the road that links the student hostels at Kisasa to the university need to be expanded and tarmacked. The university’s site covers an area of about 6,000 hectares.

The site has a good view of the municipality from some of the hills. “We are committed to creating an attractive environment to study and work,” the university council says in a brochure. The vision of the university is to become a centre of excellence and valued member of the global academic community, offering a comprehensive education in diversified academic programmes geared towards intellectual transformation.

The mission of the university is to provide comprehensive, equal and quality education to a broad segment of the population through teaching, research, extension and consultancy in the fields of education, health and allied sciences, life sciences and social services


 

Kumbe yalishasemwa, huyu CAG anayaleta leo alikuwa wapi? PSPF ilisha kufa miaka zaidi ya mitatu iliyopita. PPF ni marehemu kwenye jeneza, watu wanasubiri kutoa salamu za mwisho. NSSF ni maiti inayotembea aka msukule,. Sina uhakika kama msukule LAPF hata kutembea unaweza.

Haya yote ni kutokana na kuweka viongozi kwa kundelewa bila kujali uwezo na uadilifu.
 
Probably is a move to discourage those who want to move to LAPF from PPF

Inawezekana maana jinsi wanavyofunika kombe kwa NSSF na PPF, unapata wasiwasi kama kweli PSPF na LAPF yana hali mbaya kiasi hicho. Anyway Tanzania sasa hivi hakuna kinachoaminika zamani ilikuwa siasa lakini kwa sasa hata professions kama ukaguzi na udaktari zimekuwa zikitumika mno
 

Sasa tena tusubili hiyo iitwayo Mfuko wa bima ya afya. Hii ni nchi ambayo kila palipo na pesa wanaingiza mikono michafu.

Sasa hivi hiyo bima ya afya eti inawalipia askari lakini wao hawachangii kabisaaa!!!! Kwa maana nyingine wanatumia pesa ya wachangiaji wengine. Wakati huo huo wanachota kwa matumizi mengine ya chama na upuuzi .....
 

hivi wana akili kweli????? Vichwa vyao vizima???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…