senator diko
New Member
- Aug 8, 2011
- 3
- 0
wadau pspf walitoa nafac za operation officers muda mrefu umepita vp wameshaita wa2 kwenye interview mwenye taarifa anijulishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwe na uvumilivu kidogo kwani maombi yalikuwa mengi sana,hivyo inahitajika muda wa kutosha ili kupekua wote wenye sifa na kuwatoa hadharani kwa ajili ya usaili.Tunahitaji walau kupunguza idadi ya waombaji ifikie 100 kwa nafasi 8 zilizotolewa.
duh! Ningekuwa HR ningeanza na wewe!wacha kuwa mbabaishaji kwani kuchuja watu kuna kazi gani au wewe na jamii mnayokaa vichwa vyenu ni maji
duh! Ningekuwa HR ningeanza na wewe!
mimi ata wakichukua mmoja basi mimi
MI naona wameshawapata watu wao wanao wahitaji.
tangu umeanza kuapply umeshaona tangazo la nafasi za kazi la NSSF , PPF.
Tisiwaonee PSPF ni kawaida ya hii mifuko kuajili watuwao.
SO ITS BETTER TO LOOK FOR ANOTHER PLECE TO APPLY
HENCE DONT WASTE YOUR TIME TOWAIT FOR IT
Sikushangai mtu kama wewe kwani uwezo wa kutambua mambo ni mfinyu sana.Huwezi kujua jambo ambalo hujawahi kulifanya.Hoja huna na wanaokuunga mkono.Suala kama hili bajeti yake ilikuwa makadirio ya maombi 50 ya wanaokidhi vigezo.Hivyo kuongezeka kwa idadi kunaongeza pia idadi ya wasimamizi,venue ya kufanyia usaili na mengineyo.wacha kuwa mbabaishaji kwani kuchuja watu kuna kazi gani au wewe na jamii mnayokaa vichwa vyenu ni maji
Sikushangai mtu kama wewe kwani uwezo wa kutambua mambo ni mfinyu sana.Huwezi kujua jambo ambalo hujawahi kulifanya.Hoja huna na wanaokuunga mkono.Suala kama hili bajeti yake ilikuwa makadirio ya maombi 50 ya wanaokidhi vigezo.Hivyo kuongezeka kwa idadi kunaongeza pia idadi ya wasimamizi,venue ya kufanyia usaili na mengineyo.