Y yujomas Member Joined Dec 30, 2011 Posts 14 Reaction score 3 Jan 7, 2012 #1 wana JF napenda kuuliza je wale tuliofanya interview ya oral kwa nafasi za operation officers PSPF wameita watu? kama kuna mwenya habari atudadavulie jamani.
wana JF napenda kuuliza je wale tuliofanya interview ya oral kwa nafasi za operation officers PSPF wameita watu? kama kuna mwenya habari atudadavulie jamani.
G Godwine JF-Expert Member Joined Jan 15, 2010 Posts 1,371 Reaction score 283 Jan 7, 2012 #2 waliita mdogo wangu amepangiwa mkoa tayari naye alifanya usaili akabahatika kuitwa