Pspf walofanya interview wameitwa?

Pspf walofanya interview wameitwa?

yujomas

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
14
Reaction score
3
wana JF napenda kuuliza je wale tuliofanya interview ya oral kwa nafasi za operation officers PSPF wameita watu? kama kuna mwenya habari atudadavulie jamani.
 
waliita mdogo wangu amepangiwa mkoa tayari naye alifanya usaili akabahatika kuitwa
 
Back
Top Bottom