Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Wakuu wanajf,
huu ni mwezi unakaribia wa nne sasa toka wanabod wa Ugavi Na Ununuzi au
Procurement & Supplies wafanye mitihan lakin hadi sasa matokeo
hayajatoka!
Nakumbuka mitihani ya PSPTB Ilifanyika wiki moja baada ya mitihani ya
CPA kuanza!,ila cha kushangaza matokeo ya CPA yametoka yapata miezi 2
sasa!,hakuna taarifa maalum iliyotolewa na PSPTB kwa ucheweleshaji wa
matokeo haya.
My take; Hii bod ivunjwe iundwe upya?!
Tatizo la hii bodi ni huyu punguwan Tesha. Huyu jamaa ni kiazi sana, anairudisha sana nyuma hii bodi, lakini bado anaangaliwa tu. Kuna watu makini kama kina Songoro wapewe kazi hii wataifanya vizuri...
hivi taarifa rasmi zinasemaji tujisajili tu na tunajisajili kwa matokeo gani..? maana nilienda pale bddi mwezi huu mwanzoni ila wakawa hawana taarifa za kueleweka eti wananiambia niendele kusubiri matokeoWakuu wanajf,
huu ni mwezi unakaribia wa nne sasa toka wanabod wa Ugavi Na Ununuzi au Procurement & Supplies wafanye mitihan lakin hadi sasa matokeo hayajatoka!
Nakumbuka mitihani ya PSPTB Ilifanyika wiki moja baada ya mitihani ya CPA kuanza!,ila cha kushangaza matokeo ya CPA yametoka yapata miezi 2 sasa!,hakuna taarifa maalum iliyotolewa na PSPTB kwa ucheweleshaji wa matokeo haya.
My take; Hii bod ivunjwe iundwe upya?!
vuta subira mkubwa
hivi taarifa rasmi zinasemaji tujisajili tu na tunajisajili kwa matokeo gani..? maana nilienda pale bddi mwezi huu mwanzoni ila wakawa hawana taarifa za kueleweka eti wananiambia niendele kusubiri matokeo
mwenyewe taarifa zaidi anaijuze
isije kuwa labda waliweka usimamizi mkali na matokeo yake 70% wamefeli hivyo wanatafuta jinsi ya kuelezea, yaani kama yale ya Form IV wakuu