Psptb

Psptb

Joined
Aug 8, 2013
Posts
65
Reaction score
1
Wakuu kwa anaejua
Diploma holder wa Procurement akianza kufanya mitihan ya board (PSPTB ) atachukua mda gani kumaliza? Na cheti cheti ktakuwa equivalent na mtu bachelor degree ama vp, AU akitaka kuendelea kusoma baada ya kuhitimu hyo PSPTB itambidi akaanze level gan?
Msaada wakuu!
 
kama ni diploma holder itakuchukua miaka 3 hadi kumaliza level zote na kufanya research hii ni kama hautashikwa pepa hata moja na itakuchukua mwaka na nusu kuwa sawa na mtu wa degree sababu degree wanaanza level 4 na we ndan ya mwaka nusu kama hautashikwa pepa hata moja utakuwa umeshafika level 3, sababu kila mwaka unafanya mara mbili.
 
Nimekupata mkuu,
I salute to you, thanks!
 
Back
Top Bottom