Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Vp na matokeo maafisa tehama?
Kabisa maana kupata kazi ni kazi saiv..Mungu awaone kila anayetafuta ajira na akaipate kwa namna alivyoandikiwa na Mungu.
Unaenda DOM au DAR kupiga oralkazi imebakia kwenye placement but what about oral interview ?