Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hello job seekers, Sekretarieti ya ajira (PSRS) umeanzisha utaratibu mpya wa kufanya written interview online(aptitude test) mitihani hii imefanyika kwenye kila mkoa Tanzania nzima kwa vituo vilivyoanishwa.
Hivyo basi Leo tar 6 umefanyika mtihani ambao unajulikana kama aptitude test wameanza na maafisa tehama, tunaomba mliofanya mkashare nasi experience zenu,ulikuaje?
Vipi masuala ya muda na je mmekumbana na changamoto gani?