Kuna tumaini?Tayari mkuu, nipo mjini Dom sasa napunga upepo kama halijatokea jambo vile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ππππUkute wamemkanda huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamtia moyo sana
ππππNyama choma za CBE hapo chini ni tamu balaaDaah Dodoma nimekuja kula nyama chomaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Acha tu angalau nile nyamaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyama choma za CBE hapo chini ni tamu balaa
ππππ Utumishi sio watuAcha tu angalau nile nyamaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Giza tu mkuuKuna tumaini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukute wamemkanda huko
Kimasikhara je?[emoji3][emoji3]Daah Dodoma nimekuja kula nyama chomaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli kabisa mkuuHii Ilikua nyepesi nadhani utatoboa mkuu
ππππHajapata mchongo wakula kimasihara hahhhhhKimasikhara je?[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani siku hiyo sijui ilikuaje aseeh huwa nakaa najicheka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh walichoka kutumia nguvu
ππππ Kiingereza kinakula energy balaaMkuu, kingereza hata kama unakijua kama hukitumii sana, siku ukipata nafasi ya kukitumia utajiona unatumia nguvu nyingi kupita maelezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiingereza kinakula energy balaa
ππππhatari sanaHahaha, unawejikuta unatokwa na jasho balaa, mpaka utakaporudi kwenye kiswahili ndipo joto linarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Na written interview maswali yalikuwa yapiAdmission officer
some of the oral interview questions.
-Briefly tell us about yourself education and work experience
-Stakeholders of university admission
-Challenges of online admission system
-Duties of an admission officer
Mliofanya usaili mko wapi mtupe miongozoNgoja waje mpeane miongozo...
Mimi nishatoa dondoo mkuu, labda wengine wanaugulia mikando