PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Miaka haiwezi kufanana. Ups and downs zipo pale pale kwa kila mmoja ingawa zinatofautiana.

Hivi Jobless tulimkosea wapi Mungu?[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂daaah shida tupu
 
Maybe watumie busara lakini kwenye Dunia hii ya Karne ya 21 busara hai-work, umenikumbusha post moja iliyotoka ,akaitwa mtu mmoja oral akapata 43% afu akawa unselected,just imagine only one position but still alikuwa unselected,so hata hapo jua tambua kuwa kutokana na nature ya paper na position wanaweza kuwa term kama failures ambao mkipewa kazi au second chance mtaenda kuharibu kazi maybe practical iwe ilikosewa au iwe valid kuwa ilikuwa irrelevant au Kuna makandokando yaliyofanyika, lasivyo litakuwa re-advertised upya au njia mbadala nyingine itatumika.

PSRS wanafuata kanuni sio busara, soma kip. cha 16 cha kanuni
Screenshot_20221011-015653_Adobe Acrobat.jpg
 
sasa mbona utakuta written interview zingine wanachukua waliopata 90 kwenda kwenye oral wakati kuna waliopata 80 kama sheria ni kuchukua waliopata mpaka 70
Kuna sheria ile inayosema oral watu watatu wanagombania nafasi moja ndo itakayotumika hapo
 
sasa mbona utakuta written interview zingine wanachukua waliopata 90 kwenda kwenye oral wakati kuna waliopata 80 kama sheria ni kuchukua waliopata mpaka 70
Inategemea kama Wasailiwa ni wengi pia wanachukua wastani mkubwa ila kama ni wachache wanafuata wastani wa Kanuni.
 
Mlioitwa written, huu uzi maalum, anzeni kukumbushana mawili matatu
 
Mikando inatarajia kuanza wiki ijayo bt wengi Bado hawajatambua kama majina yametoka
 
Kwa aliyewahi kufanya Interview ya Database Admin PSRS , njoo utupe A B C
 
Wakuu hivi wale waliofanya written ya self microfinance fund, walitoa mambo yanayohusiana na nini?

Maana hii loan officer HESLB sijui nijifue areas zp?
 
Back
Top Bottom