PSRS interview questions (written, pract & oral)

Miaka haiwezi kufanana. Ups and downs zipo pale pale kwa kila mmoja ingawa zinatofautiana.

Hivi Jobless tulimkosea wapi Mungu?[emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚daaah shida tupu
 

PSRS wanafuata kanuni sio busara, soma kip. cha 16 cha kanuni
 
sasa mbona utakuta written interview zingine wanachukua waliopata 90 kwenda kwenye oral wakati kuna waliopata 80 kama sheria ni kuchukua waliopata mpaka 70
Kuna sheria ile inayosema oral watu watatu wanagombania nafasi moja ndo itakayotumika hapo
 
sasa mbona utakuta written interview zingine wanachukua waliopata 90 kwenda kwenye oral wakati kuna waliopata 80 kama sheria ni kuchukua waliopata mpaka 70
Inategemea kama Wasailiwa ni wengi pia wanachukua wastani mkubwa ila kama ni wachache wanafuata wastani wa Kanuni.
 
Mlioitwa written, huu uzi maalum, anzeni kukumbushana mawili matatu
 
Mikando inatarajia kuanza wiki ijayo bt wengi Bado hawajatambua kama majina yametoka
 
Kwa aliyewahi kufanya Interview ya Database Admin PSRS , njoo utupe A B C
 
Wakuu hivi wale waliofanya written ya self microfinance fund, walitoa mambo yanayohusiana na nini?

Maana hii loan officer HESLB sijui nijifue areas zp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…