PSRS interview questions (written, pract & oral)

daaaah kweli pepa Ilikua nzito hasa hayo maswali yanayokuwa na scenario's ni magumu poleni aseeh
 
Hii lazima oral uendee naamini auditing umepita nao tu na practice uhakika wadudu sindo wale wale tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahh, pepa ikiwaga nzuri, kwenda OP ni rahisi sana.

Tusubiri matokeo yataamua mkuu
 
Usiseme hivo mkuu, maswali hayakuja direct, marefu mno na yamekuja na technical term(s) ambazo kwa wengi, kama sio wote zilikua/ilikua mpya.

Ukijumlisha ufinyu wa muda, 40mins, kuyakumbuka ni mziki hasaa.
Maswali ya Auditing yalikuwa na maelezo mengi sana, mistari kama kumi hivi ni swali moja
 
Daaahh, pepa ikiwaga nzuri, kwenda OP ni rahisi sana.

Tusubiri matokeo yataamua mkuu
Kweli mzee pepa ikiwa nyepesi Yani kinachotuuaga ni cut point na kwenda op kidogo tu inapotea mazima
 
Ohy kwa waliofanya afisa Kilimo(Agro-officer tuwekeee maswali hapa
 
What is final withholding and non final withholding tax?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…