PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Kama hakumbuki hata swali hyo nalo ni tatizo kwa kweli ajitafakari mara mbili mbili juu ya swala kuja ddm kwa interview
Hata msimlaumu..maswali yalikua marefu sana.swali pekee fupi lilikua la pili kama sikosei.kipengele cha kwanza explain the concept of audit cycle kipengele cha pili ni kitu kama advantages za auditing cycle hivi.
 
Kaka kama hautojali ungeweka hata machache unayokumbuka yatupe taswira mpya ya paper zijazo.
Sijui nikuelezeeje.kwa kifupi maswali yalikua na mitego mingi.
Yaliyokua direct ni kama write the types of audit approach. Na kulikuwa na jedwali la kujaza.
 
Nimekandwa
Nimepapasa maswali yote
Maswali ya Auditing kuhusu kada yangu na mengine ya practice ya kada yangu
Hii lazima oral uendee naamini auditing umepita nao tu na practice uhakika wadudu sindo wale wale tu😂😂😂
 
lazima ukumbuke ili ujue umekwama wapi aseeh
Usiseme hivo mkuu, maswali hayakuja direct, marefu mno na yamekuja na technical term(s) ambazo kwa wengi, kama sio wote zilikua/ilikua mpya.

Ukijumlisha ufinyu wa muda, 40mins, kuyakumbuka ni mziki hasaa.
 
Usiseme hivo mkuu, maswali hayakuja direct, marefu mno na yamekuja na technical term(s) ambazo kwa wengi, kama sio wote zilikua/ilikua mpya.

Ukijumlisha ufinyu wa muda, 40mins, kuyakumbuka ni mziki hasaa.
Polee mkuu nakuelewa aseeh maswali yahivyo huwaga sio mazuri
 
Qn. 1. Ilizungumzia importance of an auditor to refer previous audit on effectiness of internal control, kati zikawekwa concepts nyingi nyingi tu. Swali likawa, Justify hiyo statement.

Qn. 2. Ilihusu (a) short notes about cycle auditing.
(b) ilihusu explain pressumptions and rationale of cycle auditing.

Qn 4. (b) ilikuja table ya kujaza, ilihusu description about na explaina uditing approach with examples.
Column ya kwanza ilihusu concept hizo chini, column ya pili na ya tatu ilihusu hizo concept juu respectivelly;
  • economy and efficiency
  • effective internal control
  • prospective competitor
  • effectiveness
  • compliance

Nimejaribu vuta kumbu kumbu, imegoma kabisaa, nimegusa tu key concepts.
Polee mkuu nakuelewa aseeh maswali yahivyo huwaga sio mazuri
 
Back
Top Bottom