hapo research inasaidia kuHili swali mimi nadhani unalifanya kwa how research is conducted to solve a particular problem, nadhani unatumia zile steps/process unazozitumia kufanya research Ili uweze kusolve tatizo yaani kuanzia mwanzo mpaka mwisho unapokuja kucommunicate research results/findings
Mimi nadhani ni hivyo kama Kuna mwenye mawazo tofauti ataelezea.
1.identify tatizo
2.inatuonesha source ya tatizo
3.inatupa methods za kusolve tatizo
4.inatupa njia zakupu guza athari ya tatizo na mengineyo