PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Hili swali mimi nadhani unalifanya kwa how research is conducted to solve a particular problem, nadhani unatumia zile steps/process unazozitumia kufanya research Ili uweze kusolve tatizo yaani kuanzia mwanzo mpaka mwisho unapokuja kucommunicate research results/findings

Mimi nadhani ni hivyo kama Kuna mwenye mawazo tofauti ataelezea.
hapo research inasaidia ku
1.identify tatizo
2.inatuonesha source ya tatizo
3.inatupa methods za kusolve tatizo
4.inatupa njia zakupu guza athari ya tatizo na mengineyo
 
Dah! Niliitwa ktk usahili huo ila sikwenda kwa kuwa nilikuwa mbali na hivyo nilijiweka pembeni.lakini pia kukatishwa tamaa baada ya kujua kuna watu wanne wanajitolea na wanasomeshwa na chuo na kipaumbele ktk nafasi hizo ilikuwa kwao, na taasisi yoyote ya serikali ukiona kuna mtu anajitolea kada husika,basi jua wanakamilisha mchakato tu japo kuwa neema yaweza kukuanguka kwa kudra za Mola tu.
Kwa usahili huo,hakika mapema tu ningesubili round ya pili, ambapo nilijipa matumaini ya mahali nilipopita chuoni hapo japo kikubwa uwezo.
Nakutakia kila lakheri msahiliwa,bila shaka ulitoboa
Je hao wanaojitolea nao inawahitaji kufanya usaili, au mkate unaliwa juu kwa juu bila ya hata kufanya huo mchakato wa usaili?
 
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....

Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa

Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
mwenye kitabu cha Kothari cha Research Methodology aweke,hicho kitabu ndo mzizi wa fitina hakuna swali lililoulizwa ,litakaloulizwa na Utumishi likakosa mule,hao maprof,dr nk hicho ndo kitabu chao cha kufundishia mavyuoni.
 
Wameshakituma huko post za juu kile kitabu kizuri sana kwa research hawatokagi nje
 
Za ndani kabisa, Zile INTERVIEW za TRA na LGs&MDs ni mwezi huu wa kumi ila haijulikani ni lini lakini pia inasemekana watatoa majina kikanda yaani interview itafanyika kikanda watatumia Address kupanga kanda utakayoenda kufanya interview.... Utaratibu huo umekamilika na mpaka mwajiri wameshapiga sahihi kukubaliana na utaratibu kwaio kaeni mkao wa kula kwa mliomba zile post
TRA wameshaingiza intern kwa mujibu wa utafiti niliofanya ni kama wanataka wale intern waje wawe permanent.Huenda(makisio) zile nafasi za TRA zisiwepo tena.
 
TRA wameshaingiza intern kwa mujibu wa utafiti niliofanya ni kama wanataka wale intern waje wawe permanent.Huenda(makisio) zile nafasi za TRA zisiwepo tena.
Ukiona tangazo limepelekwa utumishi lazima interview ifanyike hata intern watafanya interview labda useme watapewa madesa yakupitia ili wakatusue kwenye pepa
 
Wakuu nje ya mada kidogo.

Naomba mwenye kuweza kugeuza majukumu hayo ya kazi pichani kwenda kiingereza cha taaluma yake.
Screenshot_20221024-170716~2.jpg
 
Ukiona tangazo limepelekwa utumishi lazima interview ifanyike hata intern watafanya interview labda useme watapewa madesa yakupitia ili wakatusue kwenye pepa
Hawa wa loan officer VIP jmn Hali zao vp
 
Back
Top Bottom