Leo kuanzia mchana ndo walisema hivyoWakuu, feedback ya paper ya Jana admission officer inatoka muda Gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kuanzia mchana ndo walisema hivyoWakuu, feedback ya paper ya Jana admission officer inatoka muda Gani ?
Naona Hadi Sasa hakuna Matokeo.. wanaweza ku-upload Leo usikuWakuu, feedback ya paper ya Jana admission officer inatoka muda Gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kavurugwa mapemaa
Hahahahaa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule hata asiposave nitamtumia inbox
😂😂😂😂Kaka nilibahatika kupenya kwa mbinde sanaHahahahaa .
Urudi sasa maana umekandwa heavy hadi ukatukimbia
Kwakweli oral ilikuwa nyepesi sanaTunakuombea bro uonje mrija wa asali wizy ....vp tupeane experience tena ya wakandaji Q&A
Walipiga mule mule au vp?Kwakweli oral ilikuwa nyepesi sana
Wamerudi maswali ya challenge sasa me sinilishafanya hayo sijaona Yani lile swali geni kabisa sijaonaWalipiga mule mule au vp?
Kwa hyo wizy ukasema hapa hapa wanataka challenges 5 ,,nawapa mpka za ziada na soln zake kwa mbalimbal swali letu la kufunguia usahili [emoji3][emoji3] hili tunaliitaga Kama why should we hire u,, to solve challenges kaziniWamerudi maswali ya challenge sasa me sinilishafanya hayo sijaona Yani lile swali geni kabisa sijaona
Hahahaa, nilidhani washakuangushia kitu kizoto ukawa unaugulia maumivu hadi ukaamua ukae kimya kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka nilibahatika kupenya kwa mbinde sana
Kjana mwifwa mkeka wa NAOT kuitwa kazini bado tuuHahahaa, nilidhani washakuangushia kitu kizoto ukawa unaugulia maumivu hadi ukaamua ukae kimya kwanza.
😂😂😂😂Yes yes maana ukiwa umejiandaa halafu likaja mule mule kimoyo moyo unajisemea leo ngoja niwaoneshe kaziKwa hyo wizy ukasema hapa hapa wanataka challenges 5 ,,nawapa mpka za ziada na soln zake kwa mbalimbal swali letu la kufunguia usahili [emoji3][emoji3] hili tunaliitaga Kama why should we hire u,, to solve challenges kazini
😂😂😂😂Nilikosa bando kaka ilinibidi niwe natumia simu ya mshikaji hiviHahahaa, nilidhani washakuangushia kitu kizoto ukawa unaugulia maumivu hadi ukaamua ukae kimya kwanza.
Hizo challenges wanazoziulizaga ni challenges za nini ? Maana wengine hatujawahi fika oral😂😂😂😂Nilikosa bando kaka ilinibidi niwe natumia simu ya mshikaji hivi
Kwenye kazi yako hasa wale wa post za technical au audit au TA au engineeringHizo challenges wanazoziulizaga ni challenges za nini ? Maana wengine hatujawahi fika oral
Ngoja ajaribu bahati akiingia apigwe challenge za kazi yako ashangae ,,apate uzoefu wa wakandaji ,,aanzee Pardon plzzz , give at least 5 ..hapo mwana anajua 2 yaani sio poa aisee[emoji1787]Kwenye kazi yako hasa wale wa post za technical au audit au TA au engineering
😂😂😂😂😂Mamaeee wale washenzi wanakaziaga five five afu wamekuangalia usoni aseeeh interview ni vita kama vita ,siku ya kwanza ilibidi niwambie whatiiiiiiii?wakasema challenges in your working place aseeehNgoja ajaribu bahati akiingia apigwe challenge za kazi yako ashangae ,,apate uzoefu wa wakandaji ,,aanzee Pardon plzzz , give at least 5 ..hapo mwana anajua 2 yaani sio poa aisee[emoji1787]