PSRS interview questions (written, pract & oral)

Huu muongozo uko vizuri. Asante Sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana Accumen Mo kwa ufafanuzi mzuri.

Nina imani haya madini yatakuwa chachu kwa wengi kulipata hilo swali pindi pale wanapoulizwa.

Mwishowe nikutakie mafanikio katika Career yako.
 
Kwanini uwaachie hiyo nafasi ya wao kukudhania.Sema mwenyewe wewe ni nani umesoma wapi.Umeambiwa uzungumzie shule wewe unataja degree tu.Hizo s/m na sekondari sio shule?
 
Any job relate wanakuplace kazini
 
Duuuh mkuu hapa mbona Kuna ukakasi.. unalozongumzia naona ni kweli.. Ila naona kama sitajikamilisha niliweka hyo succinctly explaination
 
WRITTEN INTERVIEW FORMAT.

Maswali huwa 4.

Dakika mnapewa 40.

That means kila swali dakika 10.

Hivyo jitahidi uwe as brief as possible.

Usizunguke sana, hit directly kwenye point.

Then vimaelezo kidogo, then sepa.​
Nimekuelewa sana
 
Kwanini uwaachie hiyo nafasi ya wao kukudhania.Sema mwenyewe wewe ni nani umesoma wapi.Umeambiwa uzungumzie shule wewe unataja degree tu.Hizo s/m na sekondari sio shule?
Mwenyewe hapo sikumuelewa nimekuwa na ukakasi sana.. me bhana potelea mbali So napiga Mwanzo mwsho kama nimepewa mda wa kujielezea sihitaji kujistress ten
 
Kwanini uwaachie hiyo nafasi ya wao kukudhania.Sema mwenyewe wewe ni nani umesoma wapi.Umeambiwa uzungumzie shule wewe unataja degree tu.Hizo s/m na sekondari sio shule?
Interview zote nilizofanya niliwapa cv yangu wakaipitia mwanzo mwisho kama unabisha muulize wa aliyewai kufanya utumishi unawpa wanakagua na unaenda na copy kwa kila interviewer pale kweny panel list unampa wanakuja kila kitu chako kwa juu juu mpaka miaka
 
Any job relate wanakuplace kazini
Hiyo related wanaangalia courses yako au wanaangalia the last job ulioweka database baada ya kuifanyia usaili kwasababu kuna kozi zingine mfano. Ulifanya usaili TTCL CUSTOMER SERVICE OFFICER II, umesomea bachelor of marketing ukakosa nafasi ukakaa database. Hapo kwenye related ndo nataka kuelewa mfano unaweza kuwekwa marketing officer II, au ndo mpk iwe related ya job post ulioombea mwanzo?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo wamekutupia Taasisi gani unayofanyia kazi kwa Sasa mkuu..?
 
Halafu we jamaa haya mambo ya database yasikuchanganye hakuna anayejua, hao wenyewe PSRS ndo wanafahamu.. nachokushauri we piga interview zako hata 10... Siku zali likikudondokea utaona tu jina lako kwenye mkeka....
 
Wanaangalia degree yako kama ndio inayotakiwa wanakuchukua kiongozi
 
Mm nilifanya interview ya written, practical na Oral nw nasubiri placement.

Swali la practical lilikuwa tuchore na tu install star-delta starter. (Umeme)
izi za Artisan II sio ama
 
Mm.sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…