PSRS interview questions (written, pract & oral)

Haieleweki lini wanaita lakin miez inaweza kupita
 
Yah kama sisi tunasubr call for interview tangu mwezi wa february mpka leo hakuna call for interview na hatujui lini wataita
Duuh sio poa Asee. Na utajuaje kama umeitwa kwa interview au portal itaongea
 
Vipi ulipata hiyo kazi?
 
daaah kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku ile natoka nikaona mzee mmoja anacheka itakuwa walishatupa karatasi yangu ile hahhh
Bila shaka ulifanikiwa kuajiriwa!
 
Tupe mrejesho! Bila shaka ulitoboa kwenye oral na hivi sasa unakula mshahara.

Nimesikitishwa mno na namna ulivyoelezea mateso yako. Yaani hata mswaki hukupiga, ukanawa uso tu na kwenda kwenye usaili.
 
WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
 
WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo
Huo ndo mtihani ulivyokuwa hayo ndio maswali yaliyotoka jana. 1.Briefly explain why trial balance msy still balance even if there is incorrect entry posted in a group of accounts.

2. Reasons for difference between cash book and bank statement.

3. Source of document ya hivi vitu.
1.Purchase book.
2.sales book.
3.Purchase return book.
4.Sales return book.
5. Cash receipt.
6. Cash payment.
7. Cheque payment

4. Mention 5 benefit of preparing profit and loss account.
 
EXAMINATION OFFICE
Maswali niliyowahi kukutana nayo.
1. Assume you are living in dar es salaam, you observe the problem of waste all over the city. As a researcher write up a proposal to express the problem you observed.

2. Briefly explain two types of observation as used in research.

3. You are hired as an examination officer in institution..explain the measures you would apply to constrain cheating in examination.

4. Briefly explain the examinations rules applied before and after examination.

5. Procedures to write research proposal.

And so on...mengne sikumbuki mana nshaenda paper zao nying za Tutorial Assistant na Examination Officer.
 
Vipi ulishatoboa mkuu?
 
Jamani nimeitwa kufanya interview ya katibu wa bunge daraja la pili kada ya uchumi. Naweza soma nini na nini? Ahsanteni!
 
Vipi ulishatoboa mkumkuu
Mi ni in-service muda tu..mwanzoni nilikiwa natafuta green pasture ili niondoke huku TAMISEMI..nilikuwa nataka central gvt lakini ndio imeshindika...file imejaa mbarua ya PSRS mpaka mwajiri anakuita anakwambia najua una uwezo tulia unisaidie kazi nitakupendekeza unapotaka kwenda.
Saivi navizia za transfer tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…