PSRS interview questions (written, pract & oral)

  • 1.Mention components of research design

    2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
  • Research proposal components

  • 1.What is the Criteria of good research?
    2.Define Ethnography research, Cross sectional research, Empirical research, Qualitative & Quantitative research.
    3.How research can be used to solve the problem?
    4.Difference between Research methods and research methodology
    5.Research design

  • Kama hiyo kazi ilihitaji degree programme zaidi ya moja Focus sana na Research.
    Sampling & its advantages, components of research proposal, Basics Types of Research, Research design, Approaches of data collection, (are few to mention) pitia na madesa ya class (muhimu sana haya).

  • Kama unajiandaa kufanya written interview utumishi jitahidi uwe na spidi ya kuandika maana wanaangalia sana ideas jibu maswali yote.

  • hakikisha kwa swali lolote litakalotokea una link na job description yako yaani kwa mfano wametaka uwaelezee background yako ya elimu Basi kwenye kuelezea uzoefu wako kwenye kada husika taja zile job description zote ulifanyaje ulipokuwa Field.hakikisha unazitaja ofisi au site ulizokuwepo

  • make sure unakariri zile job's duties and responsibilitie za vacancy husika kama zilihainishwa kweny tangazo zikariri mtu wangu utakuja nishukuru maana hazina kutunga

  • kikubwa wadau tujiandae bila kusahau express your self ilo la kwanza, kingine duties & responsibilities muhimu usikariri bali zielewe tu coz itakusaidia ikitokea umezisahau so utatunga kingereza chako mwisho utapata pointi ya kuandika, but kikubwa usisahau kusoma maswali yale ya class mfano wewe mtu wa akaunti basi pitia pitia vile vitu vidogo dogo mfano elements of balance sheets, principles of accounting n.k nina amini kila mtu ana uwezo wa kupata kazi utumishi tujiandae vzur ila tukumbuke na kuomba mungu muhimu sana
 
Mungu akubariki sana ndugu yangu kwa huu muongozo Asante Sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja kiongozi
 
Oral ya Leo utumishi maswali hapa nayaandika yalichokua yanataka so inaweza isiwe kama lilivyokua maana yalikua marefu sana so ni Kama ifuatavyo

Assistant instructor

1.kulikua na kuandika topic yeyote unayoifaham then wakati wa interview utaenda kuipresent mbele ya panel.

2. Unaulizwa swali kutoka kwenye kile ulichofundisha.

3.express your self and your education background

4.how/which step used to design courses curriculum

4.how would your/ which ways would you use to Help student in your class hapa nimesahau ila linataka teaching methodology

5.advantages of technology in teaching
 
Naamini utatoboa mkuu
 
Samahani kiongozi, nilikuwa nataka kujua. Pindi ulipokuwa unaelekea kufanya presentation ulikuta wameshafanya connection ya computer utakayotumia pamoja na projector au ulifanya setting wewe mwenyewe?

Pili, walikuruhusu kufanya presentation kwa muda gani na ppt presentation yako ilikuwa ina pages ngapi?

Natumaini nitapata mrejesho mzuri kutoka kwako. Ahsante kaka!
 
Hakuna PC Wala computer mkuu watu kada nyingi ni unaandika kwenye kalatas tu then unakusanya basi then mtasubr kuitwa interview na kama kungekuana na ppt hua wanasema zisizidi page Saba mda tumepewa dakika 10 za presentation na 5 za maswali jumla dakika 15
 
Ahsante sana mkuu, umenisaidia sana kwa maana hapo mwanzo nilikuwa na mawazo tofauti kabisa.
 
Swali la mwisho ndugu…je kulikuwa na ubao wa kushusha nondo labda kama unataka upresent kitu kinahusu hesabu

Back
Top Bottom