Timoth1234
Member
- Mar 13, 2025
- 5
- 5
Psrs hawatoi ajira.Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
Mkuu vp uliwakanda au walikukandaPSRS wameweka pamba kwenye masikio. Next week nawindana nao, ama wanikande au niwavue msuli.
Nimefanya usaili jana tarehe 24. Wamesema majibu watatoa tarehe 27. Nitakuja na mrejesho hapa mkuuMkuu vp uliwakanda au walikukanda
Kuna moja hiyo inaandka received miaka miwili sasaPost zime wekwa toka mwezi wa 3 mwaka jana hadi leo hwzijaitwa interview
Nilibahatika kulamba asali kupitia usaili wa mwezi wa tatu. Nasikilizia mwajiri anipigie simu. Kazi za halmashauri kweli mtihani.Mkuu vp uliwakanda au walikukanda
Jiajirini wenyewe.Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
Hee hii june bado hawajapiga simu?Nilibahatika kulamba asali kupitia usaili wa mwezi wa tatu. Nasikilizia mwajiri anipigie simu. Kazi za halmashauri kweli mtihani.
Hakuna simu iliyopigwa mkuu. Nilijaribu kuulizia tena wakaniambia niendelee kusubiri watanijulisha mchakato wa kuhakiki vyeti ukikamilika, hivyo bado nipo mtaani tu.Hee hii june bado hawajapiga simu?
Eeh kuhakiki vyeti tena aah...mimi nlijua ukiitwa kazini imeisha hiyo na mshahara unaanzaHakuna simu iliyopigwa mkuu. Nilijaribu kuulizia tena wakaniambia niendelee kusubiri watanijulisha mchakato wa kuhakiki vyeti ukikamilika, hivyo bado nipo mtaani tu.
Kila mchakato ni stress ndugu yangu. Ukishaenda kuripoti kazini na barua yako pale masjala unakutana na HR anakwambia ukatoe copy ya vyeti na uache namba ya simu watakupigia simu baada ya kumaliza uhakiki. Mshahara mpaka upate check number ni process ndefu yaani lazima uwe mvumilivu tu.Eeh kuhakiki vyeti tena aah...mimi nlijua ukiitwa kazini imeisha hiyo na mshahara unaanza
Ndio utaratibu upo hivyo ?Nilibahatika kulamba asali kupitia usaili wa mwezi wa tatu. Nasikilizia mwajiri anipigie simu. Kazi za halmashauri kweli mtihani.
Ndio utaratibu upo hivyo ?Hakuna simu iliyopigwa mkuu. Nilijaribu kuulizia tena wakaniambia niendelee kusubiri watanijulisha mchakato wa kuhakiki vyeti ukikamilika, hivyo bado nipo mtaani tu.
Ndio utakuwa hivyo. Kwa hiyo tangia utume ombi la ajira, usaili mpaka kuanza kazi rasmi ni mchakato wa zaidi ya nusu mwaka. Jobless hatuna namna, ni kuwa watulivu tu na kuvumilia.Ndio utaratibu upo hivyo ?