Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,560 Reaction score 4,016 Jun 5, 2025 #21 Jerry001 said: Ndio utakuwa hivyo. Kwa hiyo tangia utume ombi la ajira, usaili mpaka kuanza kazi rasmi ni mchakato wa zaidi ya nusu mwaka. Jobless hatuna namna, ni kuwa watulivu tu na kuvumilia. Click to expand... Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse
Jerry001 said: Ndio utakuwa hivyo. Kwa hiyo tangia utume ombi la ajira, usaili mpaka kuanza kazi rasmi ni mchakato wa zaidi ya nusu mwaka. Jobless hatuna namna, ni kuwa watulivu tu na kuvumilia. Click to expand... Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,507 Reaction score 11,367 Jun 5, 2025 #22 Champion number one said: Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse Click to expand... Mbona walimu na afya, akiripoti kabla ya trh 10 ya mwezi mshahara wanapata
Champion number one said: Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse Click to expand... Mbona walimu na afya, akiripoti kabla ya trh 10 ya mwezi mshahara wanapata
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,560 Reaction score 4,016 Jun 5, 2025 #23 Mto wa mbu said: Mbona walimu na afya, akiripoti kabla ya trh 10 ya mwezi mshahara wanapata Click to expand... Kundi kubwa huku sisi wanyonge
Mto wa mbu said: Mbona walimu na afya, akiripoti kabla ya trh 10 ya mwezi mshahara wanapata Click to expand... Kundi kubwa huku sisi wanyonge
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Jun 5, 2025 #24 Champion number one said: Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse Click to expand... Huyo kashafutwa kazi bila kujua. Yaani mtu amebeba mimba mpaka anakaribia kujifungua anasubiri kuitwa kazini kweli!
Champion number one said: Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguse Click to expand... Huyo kashafutwa kazi bila kujua. Yaani mtu amebeba mimba mpaka anakaribia kujifungua anasubiri kuitwa kazini kweli!
K KimMinA JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 417 Reaction score 374 Jun 5, 2025 #25 Jerry001 said: Huyo kashafutwa kazi bila kujua. Yaani mtu amebeba mimba mpaka anakaribia kujifungua anasubiri kuitwa kazini kweli! Click to expand... πππ
Jerry001 said: Huyo kashafutwa kazi bila kujua. Yaani mtu amebeba mimba mpaka anakaribia kujifungua anasubiri kuitwa kazini kweli! Click to expand... πππ