Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa.
Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila kunamaswali mengi hayana majibu. Ndani ya usahili huu kuna utata mwingi sana ambao unachangia kufeli kwa lengo la upatajo wa walimu bora mnao wahitaji.
1. Kwanini usahili hauja lenga masomo ya kufundishia ambapo ndio kiini cha ufundishaji?
Huu ni utata ambao hauonyeshi nia ya kupata walimu bora. Nilimsikiliza vema mkenda akitetea usahili akitolea mfano walimu wa somo la kiingeleza. Hofu ni kwamba Mkenda hajui kipi kimesahiliwa kwa walimu hao kati ya kujua kufundisha somo la kiingeleza au kujua kufundisha somo la nadharia ya saikolojia na filosofia za elimu.
2. Nia ya mitihani ya usahili wa walimu ni ipi kwa namna inavyosemwa.
Sina hakika kama lengo ni kupata walimu mahili katika ufundisha kulingana na mitihani husika. Hali ambayo inatoa mashaka dhidi ya uwezo wa waliobuni utunzi wa mtihani. Hali ambayo inanyima usawa wa fulsa za ajira kwa watanzania. Ni ngumu sana kwa mhitimu wa 2015 kufanya vizuri dhidi ya alie mhitimu 2024, hapo tumejinyima upataji wa walimu bora na wakati mwingine tinatengeneza mazingira ya rushwa.
3. Uhalisia ni upi?
Kama lengo ni kupata walimu bora ambao basi hii mitihani haikidhi vigezo vya upataji wa walimu bali ni kiini macho tu ambacho hakina ishara nzuri kwa mustakabali wa elimu yetu. Uwalimu ni kazi ya vitendo na wala si nadhalia kama Mkenda na wenzake wavyo fikilia. Mwalimu bora anapatikana field. Serikali ingetengeneza mazingira ya ufanyaji wa usahili wa vitendo hakika tungepata walimu mahili sana na wabobezi. Hapa inadhihilisha asili ya uvivu wa kufikilia kwa wasomi wetu na maranyingi hufikilia vitu vyepesi zaidi ili kulipu lipua mambo yaende.
#hapa ninadiliki kusema PSRS na waziri wa usahili mmebolonga...