PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

Bila shaka ulitoboa mkuu
Nilitoboa written but oral sikufanya.. maana majibu yalichelewa sana kutoka nami pesa ikaniishia nikakata tamaa nikasafiri usiku kurudi dom.. na majibu yalitoka saa 3 usiku na kesho yake unatakiwa uende ukafanye oral
 
Pole sana mkuu.

Endapo mtu ukiwa na uhakika na ulichojibu kwenye written ni bora usubiri majibu kwa namna yeyote ile.

Oral ni hatua ya mwisho ya kupambania mrija wa Asali, ni hatua muhimu
 
Mara ya mwisho kuomba kazi 2019, tupo written pale DUCE kijana mdogo makamo yetu anasimamia anaongea maneno mbovu sana utadhani ndio tunapigania uhai.

Kazi yenyewe ya mshahara wa 950,000 ambayo sasa ni 1,050,000.

Hawa mabeberu yaani nitawanyenyeka kama baba na mama ndugi zanguni

Mkuu, hii nafasi ilikuwa ni Tutorial Assistant nini? Kama ndio, naomba kufahamu kama hicho kiasi cha mshahara wa sasa ni kabla au baada ya makato?
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Back
Top Bottom