Sure, pale ukikutana na swali ukaambiwa taja we taja, ukiambiwa elezea Basi we elezea kwa mistali miwili au mitatu, hamna muda wa kusoma easy paleNilikutana na paper rahisi mpaka nikawa nasoma mara mbili mbili labda mm sielewi😂😂 lakin, nilipata 43, lakin. nimejua kosa langu nilijibu kwa ujuaji mwingi mdelezo kibao😂
Ujuaji ukiwa mwingi wanakataSure,pale ukikutana na swali ukaambiwa taja we taja,ukiambiwa elezea Basi we elezea kwa mistali miwili au mitatu,hamna mda wa kusoma easy pale
Wakifaulu wengi wanatafuta njia nyingine ya kuwapunguza wafikie idadi wanayoitakaNilikutana na paper rahisi mpaka nikawa nasoma mara mbili mbili labda mm sielewi😂😂 lakin, nilipata 43, lakin. nimejua kosa langu nilijibu kwa ujuaji mwingi mdelezo kibao😂
Unajua nin, kusahisha watu elfu tatu sio mchezo,mi nahisi huwa wanatafuta idadi yao qanayoitaka kwa kusahisha vizuri ikifika mnaobaki unapigwa maksi tu maana nakumbuka nilifanya mitihan miwili moja wa audit mwingine wa loan officer kwa siku mbili zilizofuatana ule wa audit nilijua nimezingua totally Ila Sasa huo ndo nilipata maksi nyingi kuliko ule niliosema nimepiga vizuri
sasa umeipata point yangu unaushuhuda kabsa wale jamaa wanasahisha wakiona waliofaulu wengi bas kuna njia wanafanya kupunguza idadi sasa ukibahatika kuwepo kwenye idadi yao s anayotaka unaendelea step nyingine lakini na sisitiza wanaofaulu ni wengi kuliko idadi wanayotaka inamaana nafasi zikiwa chache siendi kupiga pepa nafasi 3 sijui 5 siend tena napotea zaidi ya 150k af wanakupunguza kifala tu.Unajua nin, kusahisha watu elfu tatu sio mchezo,mi nahisi huwa wanatafuta idadi yao qanayoitaka kwa kusahisha vizuri ikifika mnaobaki unapigwa maksi tu maana nakumbuka nilifanya mitihan miwili moja wa audit mwingine wa loan officer kwa siku mbili zilizofuatana ule wa audit nilijua nimezingua totally Ila Sasa huo ndo nilipata maksi nyingi kuliko ule niliosema nimepiga vizuri
Kwanini usijiwekee umefaulu na unaona umejibu sawa?? Nambie kwaiyo hata ukijibu sawa ukubali kufeli sio?? Sasa unaenda dodoma kubahatisha sio?? Nijibu huwa unaenda dodoma kubahatisha??Unapofanya mtihani utumishi usijiwekee perception kubwa kwamba utafaulu kutokana na namna ambavo unajibu maswali hapana
Kufanya hivo ndo mwisho wa siku unajiona kama vile haufai, hujui unaaza kuji undermine na kujizarau
We fika piga pepa sepa subir results maisha yanasonga
unasema kirahisi sana ngoja ikutokee ndo utajua maumivu yake unapoteza 150k unajiandaa muda mrefu unajibu vizuri alafu unafeli eti!!!! Then unakuja na vfungu vya sheria wakat uhalisia nimeuona ni hv wakifaulu wrngi wengine mnkandwa usilete habar za vifungu vya sheria. Pale sio chuo kwamba unapata GPA wanaidadi yao wakiipata wengne lazm mfe.Sometimes haya mambo inadepend na aliyekusahihisha pia kumbuka hii mitihani inapitia hatua zote za ukaguzi na udhibiti ubora kila,kila swali lina msahihishaji wake anayejumlisha marks na mkaguzi wa mitihani percentage ya kukoseshwa ni ndogo mno au kama unavyosema ikifika idadi ya wanaotaka wanaanza kufelisha wengine hili jambo haliwezekani.
Swala la mitihani lipo katika sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 kifungu cha (3).
Nachoweza kusema yapo mambo mengi yanayokatisha tamaa lakini tukubali ukiona hujapata jua walopata wamefanya vizuri zaidi yako na hamuwezi ajiliwa wote .
Nishaga feli mitihani kadhaa ya utumishi ila yote nilikua natambua wapi nimeteleza.
Tatio wanachukua mmoja kwenye watu watwtu ya 1:3 nafasi za kaz 5 mpo 700 inamaa lazma wapate 15 wataongeza mpka 20 hv sasa unadhani kwenye 700 wanapata 90 wangapi hiyo logic ndogo nadhani utanielewa kama kichwa kigumu basi hautonielewa.Sometimes haya mambo inadepend na aliyekusahihisha pia kumbuka hii mitihani inapitia hatua zote za ukaguzi na udhibiti ubora kila,kila swali lina msahihishaji wake anayejumlisha marks na mkaguzi wa mitihani percentage ya kukoseshwa ni ndogo mno au kama unavyosema ikifika idadi ya wanaotaka wanaanza kufelisha wengine hili jambo haliwezekani.
Swala la mitihani lipo katika sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 kifungu cha (3).
Nachoweza kusema yapo mambo mengi yanayokatisha tamaa lakini tukubali ukiona hujapata jua walopata wamefanya vizuri zaidi yako na hamuwezi ajiliwa wote .
Nishaga feli mitihani kadhaa ya utumishi ila yote nilikua natambua wapi nimeteleza.
Mkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?unasema kirahisi sana ngoja ikutokee ndo utajua maumivu yake unapoteza 150k unajiandaa muda mrefu unajibu vizuri alafu unafeli eti!!!! Then unakuja na vfungu vya sheria wakat uhalisia nimeuona ni hv wakifaulu wrngi wengine mnkandwa usilete habar za vifungu vya sheria. Pale sio chuo kwamba unapata GPA wanaidadi yao wakiipata wengne lazm mfe.