Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 May 30, 2023 #81 msomi uchwara said: Toka nimalize chuo nimefanya mtihani mmoja tu wa psrs, niliambulia kupata 35, kuanzia hapo nikaamua kupambana tu kwenye NGOs, Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app Click to expand... Uko NGO kada gani mkuu tupige kazi
msomi uchwara said: Toka nimalize chuo nimefanya mtihani mmoja tu wa psrs, niliambulia kupata 35, kuanzia hapo nikaamua kupambana tu kwenye NGOs, Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app Click to expand... Uko NGO kada gani mkuu tupige kazi
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Jun 1, 2023 #82 Una connection?
SPONSA Senior Member Joined Oct 30, 2018 Posts 178 Reaction score 270 Jun 2, 2023 Thread starter #83 scolastika said: Una connection? Click to expand... Sina dada nimkubali
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Jun 2, 2023 #84 Wasomi wameshakuwa wengi hiyo ndio namna ya kuwapunguza katika level mbali mbali ili wasizidi.
R Ruhusu Mpango wa Mungu Senior Member Joined May 15, 2023 Posts 137 Reaction score 220 Jun 2, 2023 #85 Pole.Endelea kupambana IPO siku
SPONSA Senior Member Joined Oct 30, 2018 Posts 178 Reaction score 270 Jun 2, 2023 Thread starter #86 Ruhusu Mpango wa Mungu said: Pole.Endelea kupambana IPO siku Click to expand... wakat wake mungu utafika
Ruhusu Mpango wa Mungu said: Pole.Endelea kupambana IPO siku Click to expand... wakat wake mungu utafika
SPONSA Senior Member Joined Oct 30, 2018 Posts 178 Reaction score 270 Jun 2, 2023 Thread starter #87 Zemanda said: Wasomi wameshakuwa wengi hiyo ndio namna ya kuwapunguza katika level mbali mbali ili wasizidi. Click to expand... Inaumiza sana na zile cost za kusafr dar to dodoma daah
Zemanda said: Wasomi wameshakuwa wengi hiyo ndio namna ya kuwapunguza katika level mbali mbali ili wasizidi. Click to expand... Inaumiza sana na zile cost za kusafr dar to dodoma daah