Pssf..nssf hawa madafa muwabadilishe vituo wanajisahau sana kwa dharau

Pssf..nssf hawa madafa muwabadilishe vituo wanajisahau sana kwa dharau

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili

Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama wawili hawakai folen kisa wameshambiwa kwa msg njoon akitoka huyu

Sasa wimbi lingine limeibuka mko 14 mnasuniri huduma wana meza 5 xa huduma wakiona tu mmepungua wanaondoka wanabakia wawili ama mmoja

Ukituma msg kwa mabosi zao unashangaa wanakutupuka wanapotokea sijui walikuwa wapi

Embu fanyeni mabadiliko wapelekwe vituo tofauti hata kila baada ya miezi 6 thx

Inachoonekana wamezoa kazi ndio maana wanaongeza dharau kwa wateja wao
 
Back
Top Bottom