Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za watu.
No wonder ilikuja lile wazo la kupeana hela kidogo kidogo kwa wazee waliomaliza umri wa kufanya kazi na fao la kukosa ajira kwa vijana, hii mifuko iko hoi na sheria inatulazimisha kubaki kwenye kuibiwa.