Na pesa hizo zinatumika kufanikisha haya maovu ktk kutiana moyo na motishaKwa madudu haya, lazima watumie mabavu kudhibiti upinzani ila haitowasaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pesa hizo zinatumika kufanikisha haya maovu ktk kutiana moyo na motishaKwa madudu haya, lazima watumie mabavu kudhibiti upinzani ila haitowasaidia.
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu🤣🤣🤣nchi ngumu sana hii
Hilo deni kubwa hapo ni la pspf (psssf ya Sasa ) na mengine ni ya ppf,lapfView attachment 1981489
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za watu.
No wonder ilikuja lile wazo la kupeana hela kidogo kidogo kwa wazee waliomaliza umri wa kufanya kazi na fao la kukosa ajira kwa vijana, hii mifuko iko hoi na sheria inatulazimisha kubaki kwenye kuibiwa.
Aisee kama ni Kuokolewa na Mungu basi tusubiri neema tu. Kibinadamu tunafika mwisho.Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Nakumbuka gesi ya mtwaraTumeliwa Sana Ndugu Zangu
Hatari Hii Nchi Tukaambiwa Gas Ndiyo Mkombozi Wa UchumiNakumbuka gesi ya mtwara
View attachment 1981489
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
View attachment 1981489
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za watu.
No wonder ilikuja lile wazo la kupeana hela kidogo kidogo kwa wazee waliomaliza umri wa kufanya kazi na fao la kukosa ajira kwa vijana, hii mifuko iko hoi na sheria inatulazimisha kubaki kwenye kuibiwa.
Sasa tutazungumza lugha moja.Jiwe aliharibu Sana hii nchi.Ila Jiwe kaiharibu sana hii nchi.
Rais wa sasa ana kazi kubwa sana.