PSSSF inaidai Serikali trilioni 4.6, yasuasua kuwalipa wastaafu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887


Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.

Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za watu.

No wonder ilikuja lile wazo la kupeana hela kidogo kidogo kwa wazee waliomaliza umri wa kufanya kazi na fao la kukosa ajira kwa vijana, hii mifuko iko hoi na sheria inatulazimisha kubaki kwenye kuibiwa.
 
Sheria nzima ya mifuko hii ni ya kufumuliwa upya!
 
wazee wa ccm watakufa kwa stroke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…