GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na hawakufanyi ujisikie vibaya kupata huduma kutoka kwao.
Pamoja na kwamba jambo langu halikufanikiwa moja kwa moja lakini ukweli lazima tuuseme pale ambapo kazi nzuri inafanyika. Najua sijapita matawi yote hapa nazungumzia ofisi yao ya Posta lakini naamini hata matawi mengine suala la customer care watakuwa waelipa kipaumbele.
Hongereni sana popote mlipo.