Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,921
- 2,551
Mimi hata siwaelewi chenga kama madalali,unaenda unaambiwa barua inasema hivi kwa mdomo!,Nipeni hiyo barua utazungushwa hadi ukatevtamaa,Kuna hela nimechangia zaidi ya miezi 204, Naambiwa sistahili kupewa pention ya mwezi,kwani nikipewa zote!Ukifuatilia statement nilichangia jumla pamoja na mwajiri million 30,Hela niliyopewa shs 28 milioni Sasa hapo hiyo hela yote niliyopewa ni ipi?,Na hiyo Riba waliyonipa Iko wapi?,Hawana Majibu.!Habarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja anakiambia taarifa zako hazipo. Hazijafikishwa kwetu. Ukikata simu ukimpata mwingine anakusubirisha dk kama 20 hatimae anakuambia faili lipo kwenye mchakato
Hivi hao wahudumu wapuuzi kwanini mnawaweka kwenye taasisi za umma? Hayo ndio madhara ya RUSHWA sasa mtu hata anachotakiwa kukifanya hana uelewa nacho
Eti taasisi kubwa kama hiyo mnufaika anakua amekamilisha viambatanisho vyote halafu mafao yake yanachukua siku 60. Hivi nyie mmelogwa? Mmeleeniwa? Mmechanganyikiwa? Au mnataka hongo?
Mnasema watu waombe kwa njia ya mtandao sasa mbona nibora watu wangekuja kupanga foleni kama wanasubiria ubwabwa kwenye harusi ndio mngehudumia haraka. Hamuoni hata aibu kuzuiya hela za watu muda mrefu? Au mnaona ni zenu? Mnashindwa hata na watu wanaotoa mikopo huko NMB nk.
Eti taasisi kama hiyo inasimamiwa na waziri fulani, eti kuna mkurugenzi, sijui mhasibu hivi kazi zenu ni zipi hapo? Maana hamna anaetoa msukumo na maelekezo ya hizi kero za muda mrefu kwenye huu mfuko
Mkurugenzi aliyeondoka alikua mzigo na aliyeletwa hapo nikama mzoga. Mambo yamesimama hayaendi. Kwanini mnatesa watu na hela zao? Au mfuko umefilisika hela mmegawana?
Taasisi hii inazidi kusimamiwa na watu wazembe siku hadi siku.
Hivi hii nchi imelaaniwa? Inakuaje mtu amepewa nyumba ,usafiri, bure. Asubuhi anavaa suti na tai anapelekwa ofisini akifika anafanya upuuzi anajiona yeye ndio kilakitu. Hatoi huduma anasikilizatu muziki
Kama vipi kilamtu aachwe akae na hela zake. Tusisumbuane
Inakuaje kwenye kumkata mtu hela zake kilamwezi hamuombi mabarua ili mjiridhishe kama ni yeye?
Huo mfuko ni hopeless kabisa na hao wanaofanya kazi hapo kama sio kutaka rushwa basi mfuko UMEFILISIKA
Nakazia aisee ujinga mwingi huko.Hii issue unakuta ni mpuuzi mmoja anataka kukuchanganya tu umuachie hela zakoHabarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui amelewa au amevimbiwa anakuambia taarifa zako hazipo. Hazijafikishwa kwetu. Ukikata simu ukimpata mwingine anakusubirisha dk kama 20 hatimae anakuambia faili lipo kwenye mchakato. Hivi huwa MNACHAKATA NINI?
Hivi hao wahudumu wapuuzi kwanini mnawaweka kwenye taasisi za umma? Hayo ndio madhara ya RUSHWA sasa mtu hata anachotakiwa kukifanya hana uelewa nacho
Eti taasisi kubwa kama hiyo mnufaika anakua amekamilisha viambatanisho vyote halafu mafao yake yanachukua siku 60. Hivi nyie mmelogwa? Mmelaaniwa? Mmechanganyikiwa? Au mnataka hongo? Kama mnataka TAKRIMA wekeni hata CONTROL NUMBA MPEWE
Mnasema watu waombe kwa njia ya mtandao sasa mbona nibora watu wangekuja kupanga foleni kama wanasubiria ubwabwa kwenye harusi ndio mngehudumia haraka. Hamuoni hata aibu kuzuiya hela za watu muda mrefu? Au mnaona ni zenu? Mnashindwa hata na watu wanaotoa mikopo huko NMB nk.
Eti taasisi kama hiyo inasimamiwa na waziri fulani, eti kuna mkurugenzi, sijui mhasibu hivi kazi zenu ni zipi hapo? Maana hamna anaetoa msukumo na maelekezo ya hizi kero za muda mrefu kwenye huu mfuko. VIONGOZI WOTE WANAOSIMAMIA HUU MFUKO WAMESHINDWA. MKURUGENZI UMEFELI NA HAO WATU WAKO. WAZIRI HUSIKA NDIO KABISA
Mkurugenzi aliyeondoka alikua mzigo na aliyeletwa hapo nikama mzoga. Mambo yamesimama hayaendi. Kwanini mnatesa watu na hela zao? Au mfuko umefilisika hela mmegawana?
Taasisi hii inazidi kusimamiwa na watu wazembe, siku hadi siku. Watu WABINAFSI NA WACHOYO wanaoona Hela ya MTU kama wanamfanyia fadhila.
Hivi hii nchi imelaaniwa? Inakuaje mtu amepewa nyumba ,usafiri, bure. Asubuhi anavaa suti na tai anapelekwa ofisini akifika anafanya upuuzi anajiona yeye ndio kilakitu. Hatoi huduma anasikilizatu muziki
Kama vipi kilamtu aachwe akae na hela zake. Tusisumbuane
Inakuaje kwenye kumkata mtu hela zake kilamwezi hamuombi mabarua ili mjiridhishe kama ni yeye?
Huo mfuko ni hopeless kabisa na hao wanaofanya kazi hapo kama sio kutaka rushwa basi mfuko UMEFILISIKA
Hao niwasanii,wasumbufu na weziMimi hata siwaelewi chenga kama madalali,unaenda unaambiwa barua inasema hivi kwa mdomo!,Nipeni hiyo barua utazungushwa hadi ukatevtamaa,Kuna hela nimechangia zaidi ya miezi 204, Naambiwa sistahili kupewa pention ya mwezi,kwani nikipewa zote!Ukifuatilia statement nilichangia jumla pamoja na mwajiri million 30,Hela niliyopewa shs 28 milioni Sasa hapo hiyo hela yote niliyopewa ni ipi?,Na hiyo Riba waliyonipa Iko wapi?,Hawana Majibu.!
Ashaanza vibaya. Amezidiwa kete. Inawezekana hata kuingia kwenye mfumo akaangalia madai ambayo yanamuda mrefu hajuiDr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Yaani kuna wahudumu wanajibu utumbo utafikiri hizo hela nizababa zaoPacha wao ni Vodacom Tanzania, hawana tofauti hapo kwenye huduma ya wateja *****
Kwani yeye hajui wajibu wake hadi umfikishie ujumbeDr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Kaka Sasa nenda NSSF HUKO NDO UTATAMANI UMPIGE MTOA HUDUMA.Habarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui amelewa au amevimbiwa anakuambia taarifa zako hazipo. Hazijafikishwa kwetu. Ukikata simu ukimpata mwingine anakusubirisha dk kama 20 hatimae anakuambia faili lipo kwenye mchakato. Hivi huwa MNACHAKATA NINI?
Hivi hao wahudumu wapuuzi kwanini mnawaweka kwenye taasisi za umma? Hayo ndio madhara ya RUSHWA sasa mtu hata anachotakiwa kukifanya hana uelewa nacho
Eti taasisi kubwa kama hiyo mnufaika anakua amekamilisha viambatanisho vyote halafu mafao yake yanachukua siku 60. Hivi nyie mmelogwa? Mmelaaniwa? Mmechanganyikiwa? Au mnataka hongo? Kama mnataka TAKRIMA wekeni hata CONTROL NUMBA MPEWE
Mnasema watu waombe kwa njia ya mtandao sasa mbona nibora watu wangekuja kupanga foleni kama wanasubiria ubwabwa kwenye harusi ndio mngehudumia haraka. Hamuoni hata aibu kuzuiya hela za watu muda mrefu? Au mnaona ni zenu? Mnashindwa hata na watu wanaotoa mikopo huko NMB nk.
Eti taasisi kama hiyo inasimamiwa na waziri fulani, eti kuna mkurugenzi, sijui mhasibu hivi kazi zenu ni zipi hapo? Maana hamna anaetoa msukumo na maelekezo ya hizi kero za muda mrefu kwenye huu mfuko. VIONGOZI WOTE WANAOSIMAMIA HUU MFUKO WAMESHINDWA. MKURUGENZI UMEFELI NA HAO WATU WAKO. WAZIRI HUSIKA NDIO KABISA
Mkurugenzi aliyeondoka alikua mzigo na aliyeletwa hapo nikama mzoga. Mambo yamesimama hayaendi. Kwanini mnatesa watu na hela zao? Au mfuko umefilisika hela mmegawana?
Taasisi hii inazidi kusimamiwa na watu wazembe, siku hadi siku. Watu WABINAFSI NA WACHOYO wanaoona Hela ya MTU kama wanamfanyia fadhila.
Hivi hii nchi imelaaniwa? Inakuaje mtu amepewa nyumba ,usafiri, bure. Asubuhi anavaa suti na tai anapelekwa ofisini akifika anafanya upuuzi anajiona yeye ndio kilakitu. Hatoi huduma anasikilizatu muziki
Kama vipi kilamtu aachwe akae na hela zake. Tusisumbuane
Inakuaje kwenye kumkata mtu hela zake kilamwezi hamuombi mabarua ili mjiridhishe kama ni yeye?
Huo mfuko ni hopeless kabisa na hao wanaofanya kazi hapo kama sio kutaka rushwa basi mfuko UMEFILISIKA
Nimalizie kwakusema mkurugenzi wa mfuko aelewe kwamba AMEFELI. Hata akivaa suti akiingia ofisini ajue ANAWADHULUMU WATANZANIA .
Fanya hivyo mkuu,Mimi nipo Dodoma naumia kwa nauli ya daladala,hao wa mikoani kuja huku makao makuu na kurudi inakuwaje?!!!Dr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Vipi mkumbwa jr ulishamalizans nao?!!Hawa jamaa ni kichefuchefu,!Wakati mwingine ninawaza kwamba inawezekana hao watumishi waliweka hela zetu fixed account ili wapate masilahi
Wachunguzwe na vyombo huru. Ingawa hatua hazitachukuliwa lakini tujue tu
Niliwachana makavu kwenye namba Yao Huduma kwa wateja (0800110040).Hao niwasanii,wasumbufu na wezi
Wagombea kupumzika ,kucheza na hela za watu ni sawa na kuchezea Afya zao!Kwani yeye hajui wajibu wake hadi umfikishie ujumbe
Hizo taasisi wapewe vijana ambao wanaendana na nyakati na mahitaji ya watanzania.
Baadhi ya wazee Wana msongo wa mawazo
Wangeomba kupumzika.Wagombea kupumzika ,kucheza na hela za watu ni sawa na kuchezea Afya zao!
Hapo mpuuzi zaidi ya wote unahisi ni nani? Mkurugenzi kazi yake ni nini?N
Nakazia aisee ujinga mwingi huko.Hii issue unakuta ni mpuuzi mmoja anataka kukuchanganya tu umuachie hela zako
Hata ukiongea nao kwenye simu. Hao ni sikio la kufaNiliwachana makavu kwenye namba Yao Huduma kwa wateja (0800110040).