Hana umakini wowote. Nimzembe tu kama wazembe wengineDr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Hana umakini wowote. Nimzembe tu kama wazembe wengineDr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Rhimo siyo mzee kama unavyodhani, huyo ni kijana tena kijana mno..Kwani yeye hajui wajibu wake hadi umfikishie ujumbe
Hizo taasisi wapewe vijana ambao wanaendana na nyakati na mahitaji ya watanzania.
Baadhi ya wazee Wana msongo wa mawazo
Kijana lakini mitazamo yake yakizee. Kijana anaejielewa hazuii hela ya mtuRhimo siyo mzee kama unavyodhani, huyo ni kijana tena kijana mno..
We unadhani kwamba kutoa hela ni kama kupika ndz mezani na unaanza kula?Kijana lakini mitazamo yake yakizee. Kijana anaejielewa hazuii hela ya mtu
Mimi nimeenda mbali nilishauriwa na mtu niandike barua kwenda kwa waziri mhusika,copy kwa waziri Mkuu ndio namsubiria majibu!Sasa jamaa wako kwenye pilika za uchaguzi!Hata ukiongea nao kwenye simu. Hao ni sikio la kufa
Wachukue TRA!Ma fisiem yamechukua PESA kupeleka kwenye kampeni zao.
No reform
No election.
KAZI ni kipimo cha utu
Atakuja kufyekwa mtu sikioKaka Sasa nenda NSSF HUKO NDO UTATAMANI UMPIGE MTOA HUDUMA.
Kukata,wakate,kuzirudisha kwa wenyewe kama Hisani!Atakuja kufyekwa mtu sikio
Sasa mbona anakua kama mchawiRhimo siyo mzee kama unavyodhani, huyo ni kijana tena kijana mno..
Kama mtu amekamilisha taratibu zote na wanachakata zaidi ya miezi mitano je unataka kutuambia nini?We unadhani kwamba kutoa hela ni kama kupika ndz mezani na unaanza kula?
Hata wewe leo ukipewa hyo nafasi kwa akili zako hzo huwez chochote
Kuna mdau kaanzisha mada ya wanajeshi hawajapata mafao ya mwezi June, mpaka kachanyanganya kichwa,NSSF badala ya PSSSF!Hawa ni jipu!Kama mtu amekamilisha taratibu zote na wanachakata zaidi ya miezi mitano je unataka kutuambia nini?
Nadhani wewe nae bora huyo aliyejipambanua kama ameshindwa
Watu wa aina hii bora watoweke duniani
Huko ni hatari na nusu.Kaka Sasa nenda NSSF HUKO NDO UTATAMANI UMPIGE MTOA HUDUMA.
Kama yupo atakuwa hajui wajibu wake!Hivi yule afisa doria mtandaoni anaangalia post kama hizi na kuwafikishia wahusika? Au ni zile tu za kukosoa viongozi ndio zinamuhusu?
Naona SMS hamjampa huyo Dr Nyansaho,Mimi nimepeleka documents upya!Za mwanzo wanadai hawazioni na nilipelekwa personal!Dr nyansaho rhimo ni mtu makn sana, hana hata miez mitatu..tutamfkishia hii sms'
Pole ndugu. Si wanasema hawapokei fiziko documents bali una zi submit kwa njia ya mtandao.Naona SMS hamjampa huyo Dr Nyansaho,Mimi nimepeleka documents upya!Za mwanzo wanadai hawazioni na nilipelekwa personal!
hayo mambo ya mitandao kwa maofisi ya hapa bongo bado sana. afadhali hata ofisi ya mtendaji wa kijiji.Pole ndugu. Si wanasema hawapokei fiziko documents bali una zi submit kwa njia ya mtandao.
Wanapokea mkuu, samahani kwa kuchelewa kujibu,mtandao ulikuwa haufunguki kwangu(jamii forums)!Pole ndugu. Si wanasema hawapokei fiziko documents bali una zi submit kwa njia ya mtandao.