PSSSF wanayo App. Mimi naitumia na ninavyoiona ina functions nyingi tu nzuri. Leo tu nimeweza kuhakiki taarifa zangu na wategemezi wangu pamoja na kuangalia michango yangu na kuprint statement ya michango yangu. Inawezekana hiyo function unayoitaka wewe haipo au bado haijaanza kufanya kazi. Natumaini kilio chako wamesikia.