PSSSF yashika nafasi ya Kwanza katika Tuzo za Uandaaji Bora wa Mahesabu za NBAA, 2023

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
WhatsApp Image 2024-11-30 at 06.23.51_c3649fa9.jpg

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii.

Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Bi. Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, katika hafla ya utoaji tuzo ulioratibiwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jijini Dar es Salaam Novemba 29, 2024, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Wizara ya Fedha, Bw. Benjamin Mashauri.

“Tunamshukuru Mungu kwa kupewa hii tuzo, tunapokea tuzo hii kwa mara ya tatu mfululizo, pongezi kwa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko, Mkurugenzi Mkuu na Menejimenti yake na watumishi wote wa PSSSF kwa ujumla; Hususani kurugenzi ya fedha kwa kuwezesha kupatikana kwa tuzo hii. Tuzo hii iwe chachu ya kuhakikisha kwamba mahesabu yetu yanaandaliwa vyema kila wakati.
 
View attachment 3168575

Hii habari mbona inashangaza maana niliona ni TRA wakitangazwa kuwa washindi kwenye vyombo vya habari na picha nilizobahatika kuziona

Picha namuona naibu wa kamishna wa TRA akipokea tuzo hiyo ya mshindi wa kwanza
DCG NBAA 5.jpg
dcg NBAA.jpg
Naona n
DCG NBAA 2.jpg
 
Back
Top Bottom