Psychedelic Drugs & Consciousness

Psychedelic Drugs & Consciousness

IMG_4310.jpg
 
Kuhusu Pombe cha msingi ni kuangalia level of Ethanol katika pombe. Kwa Mfano Wine nyingi level ya Alcohol Ina range kati ya 5% hadi 12% hizi ni standard wine lakini zipo zinazoenda hadi 20% Alcohol by Volume. I mean kila glass moja unayokunywa inakuwa ime contain hiyo 12% au 5% depends manufacturers.

Recommended Wine intake kwa ile yenye 12% kwa mwanaume ni glass 2 tu that might sound healthy. Wine kama Altar wameficha ile percentage of ethanol which is not good Na ndio maana ukinywa glass 2 unahisi kulewa kwa wale ambao sio watumiaji snaa wa pombe.

The only thing I can say pombe Ina weza kuua ukizidisha level yake in your blood.

5g/kg of Ethanol ni lethal dose .

Usitumie pombe ambayo hujui level ya Ethanol yake. Pombe zote ni lazima ziwe labeled hii kitu. Ukiona pombe Ina zaidi ya 15% of Ethanol, hapo nenda taratibu kama wewe sio mtumiaji sana.

Watu hunywa bia nyingi kwa sababu zina Ethanol ndogo snaa like 5% , you need a lot of bottles to get high.

I personal don’t drink alcohol kwa sababu hainipi spirituality transcendence zaidi ya kuzima na kujikojolea.

Nikinywa Altar wine like one glass nakaa mwaka that is my limit level.

Mimi na Ethanol we don’t go together.

Alcohol consumption ikizidi is really bad for your health.but moderate consumption is good for your health.

We will talk about this kwenye impairments of your CNS pamoja na liver diseases, getting old before your time , utaonekana Mzee na wrinkles kabla ya Muda wako

Ethanol inaenda ku drain your minerals na vitamins, ngozi yako itapauka, itaonekana ya kizee, unaweza kuonekana mwizi lol .

Risk ya pressure na kisukari itaongezeka, utakosa Nuru ya sura yako. Utaingia kwenye addiction ya pombe....

Yaani ukiwa mlevi make sure unakula Heath kufanya replacement ya minerals na vitamins, detox Inakuwa ni lazima.

Ukiniomba ushauri nitakuambia kunywa red wine au white Maximum 2 glasses for a while like 6 months or so lol [emoji38] can you ....
 
In my experience, Ethanol ndio inatumika sana kwa mambo ya medical issues.


Pamoja kwamba ni pombe but at certain % inaweza kutumika kama Antiseptic . Kwa mfano Hand Sanitizer zinatumia Ethanol zaidi . Kwa muongozo wa WHO , Ethanol atleast 60% Kwenye hand Sanitizer kwa ku disinfect microorganisms,lakini muongozo wa WHO Sanitizer production imeweka room ya kutumia Isopropyl Alcohol kama Ethanol haipo.

Ila Isopropyl mimi sijawahi kuipenda nikiishika kwa mkono inanichubua na kubabua ngozi tofauti na Ethanol.

Aina nyingine ya Alcohol ni Methanol hii hutumika zaidi kwenye Fuel Production na food preservation etc etc .


ni toxic ku ingest. Kama unakumbuka story ya Spirit ( Methylayed Spirit ) madaktari walikuwa wanakunywa wakidhani ni pombe( Ethanol). Wakapata upofu

Methylayed Spirit ni denatured Ethanol yaani Ethanol iliyowekewa Methanol (10%) ambayo ni sumu kweli kweli inaenda ku damage Optic Nerves na ku sababisha Blindness. Ukinywa Methylayed Spirit unapofuka macho.

Faida nyingine ya methanol ; ikifanyiwa Dehydrogenation through endothermic reaction yaani kuipitisha Kwenye high temp inaenda kutengeneza Formaldehyde.

Formaldehyde ni muhimu sana hutumika kuhifadhia miili yetu isioze kwa haraka tunapokufa na kuwekwa Mochwari.

Formaldehyde inaenda ku stop bacteria ndani ya miili yetu kufanya decomposition pamoja na kutoa toxic gases which might be very much contagious na ndio maana sio vyema kukaa karibu na maiti kama haijapigwa hii kitu inaitwa Formalin Injection.

Formalin Injection au unaweza sema Embalming Fluid ni mchanganyiko wa Formaldehyde +Glutaraldehyde + Methanol these are strong chemicals ambazo zinaenda ku slow down decomposition process, yaani zinaenda kupigana na bacteria wa mwili, kupitia vita hii inafika pahala mwili unabadilika rangi na kuwa black sana maana unataka kusimamisha nature kwa kutumia chemicals. That is why sio vyema kuchelewesha sana kuzika hasa kipindi kama hiki. Miili yetu ikifa inatoa toxic gases na inakuwa ni hekalu la bacteria na Viruses ambao ni hatari kwa walio hai.

My take ni make sure unasoma label content za pombe , Pombe Kama Vodka wanachanganya kiasi fulani cha methanol ambacho wao husema hakina madhara , but mimi nasema kinamadhara Over time
 
Too much of anything is hamful si ndio?
Mkuu elezea vema kuhusu kuconsume maji mengi mwilini

Pia nakukumbusba TEAM 666 kuhusu mada yetu ile ulisema utakuja na uzi mwingine
 
IMG_4382.jpg


Psychedelic substance in Magic Mushroom
( Hallucinogenic)

The Active Ingredient ni Psilocybin as a prodrug ambayo ikiingia kwenye mwili inaenda kuwa Metabolised into psilocin.

Psilocin has a high affinity for the serotonin 5-HT 2A receptor in the brain where it mimics the effects of serotonin. Serotonin ni Happy hormone ipo ndani ya mwili wetu ambayo mara nyingi Watoto ambao hawana stress za maisha ndiyo wana enjoy hii hormone inakuwa released kwa wingi. Sisi tuliopigika na culture Conditions pamoja na unknown fear, chuki, hating, prejudices, ubaguzi wa dini , rangi , makabila , ego na ujinga ujinga mwingi , we need these chemicals to stimulate our serotonin and dissolves our little ego , na kuturudisha akili ya utoto.

Swali la kujiuliza, kwanini watu wa zamani walikuwa hawapo addicted na hii mimea , wakati sisi watu wa sasa tunataaluma na technology ya kutosha but hii mimea imekuwa ni devil in a chemical form wakati wazee wetu waliitaja kama God in Chemical Form or God in Pills [emoji381], what is wrong with this generation ?
-

Traditional consumption of hallucinogenic mushrooms has been found mainly in America and a few regions of Asia followed by Europe. They used for healing , creativity , spiritual and religious ceremonies.

In spiritual ceremonies, hallucinogenic mushrooms were used to make contact with Souls , and as a way of hearing the voices within and having the sense of existence of higher truth and Unity.

The plants gave them mystical Experience and Through the mystical experience, they gained enormous knowledge about the stars, agriculture, martial arts, architecture, planents , etc etc.

But our generation uses these plants and become losers while , With this technology, we have all the means to know the therapeutic dose, Intermediate dose, Maximum dose and below the threshold level of addiction and intoxication

What is wrong with us , where are messing ?

IMG_4381.jpg
 
My Experience In Cannabis, LSD , , DMT Psilocybin, which actually nilipata a below therapeutic dose ; I had one of the most experience in my life , and from that point ,it was a radical change of my little stupid life on earth. I got power as human being.

In fact I was really stupid and egocentric mind

With below therapeutic dose of these psychedelic divine plants , It allowed me to see nature more clearly: auras in flowers and people, trees, chair, tables, with more vivid truths in everything I contact with .

everything was opened up and down , it is totally impossible to understand if you are in a state of ordinary consciousness.

But kwa sababu kuna so many requests from my fellow humans , tutakuja na lectures maalumu ya kupata therapeutic dose to begin with ya hizi plants like Cannabis, Psychedelic plants.

You have to know how much should be ingested in your body ambacho kitaenda kuleta positive effects na sio negative effects itakayo distort your brain nerves and neurons.

I worked in Mirembe Hospital back in the days, cases nyingi za ukichaa ni Marijuana induced mental illness, hard drugs like cocaine, induced mental institutions

Na yote haya ni kwa Sababu watu wanafanya mambo out of their knowledge. In this forum we are going to expose the truth ya namna halisi ya kutumia divine plants. Knowing start dose, etc etc

I dispute methadone centers ambazo for almost 10 years , wabwia unga haijawahi kuwa msaada kwao. Methadone is a business ya top dogs inayoendelea kuwatafuna vijana wetu nyuma ya mgongo wa rehab tena yenye Certification from MOHCDGEC. This is bad, I think DCEA and MOHCDGEC should do their work properly than entertaining Methadone for addicted.
 
Kitu pekee ambacho vijana wetu wanapotea ni kufanya mambo out of knowing what , how and when.

Kwa mfano, Mtu anaenda kuvuta Bangi ambayo hajui the composition ya hiyo bangi anayovuta.

Mfano unaenda Kutoa jino Hospitali. Daktar anakuandikia Amoxicillin 250mg kwa dose ya 2 tabs tds. Literally means anakusudia upAte Amoxicillin ndani ya mwili wako kwa siku jumla ya milligrams 1500. Ambayo hii kwako ni therapeutic dose yaani ile dose inayoenda kutibu na si kidhuru au kuleta toxicity ndani ya mwili wako. Ama kwa Mtoto, atapewa nusu dose ya mtu mzima, na kama ni Mtoto below 5years, atapewa robo dose....

Kisha Dr Ataandika na metronidazole 200mg at the dose of 2 tabs tds, hapa amekusudia upate 1200mg kwa siku as therapeutic dose against microbials after tooth [emoji3103] extraction.

This means, akitaka kukuua, atakusudia kwa siku upate atleast 6000mg ya Amoxicillin per day. Kwa dose hii kwa siku ni lazima u float hata Kama hutokufa over time, utakua umefanya damage ya vital organs zako .

Kwa maelekezo hayo , hata Bangi , DMT , LSD has the same explanation.

Je Bangi unayovuta, unajua composition yake ? Tumeona hapo juu kidonge kimoja cha Amoxicillin kina milligrams 250 , je Bangi unayovuta ina THC milligrams ngapi ? ili kujua the benefit dose...

the composition of THC katika mmea inategemea na mahali Bangi ilipokulia, mazingira, sunlight iliyoingia, viambata sumu kwenye mazingira yake, mbolea iliyotumika ina kemikali nyingine za sumu all these stuff mwisho wa siku kwa kutumia Chromatography analytical method tunaweza kujua ndani ya Bangi unayovuta lile jani lake Lina THC mg ngapi ?

Kwakujua hivo , utashauriwa kutumia puffs kadhaa upate dose sahihi itayokuletea Transcendence effect bila ya madhara yoyote.

Sasa mtu anaenda kuvuta msokoto wote wa Bangi bila ya kujua composition ya THC ndani yake . Some Cannabis especially ya Arusha na Mara zina high concentration of THC , which makes it dangerous to smoke without knowledge. Wale machalii ya Arusha akikuambia nipe hela, hujamaliza kutoa hela , tayari ameshakuchomeka bisibisi. Akili zao zimeshaharibika na ni kwa sababu wanavuta mmea wenye conc nyingi ya THC.

Nikisema Uyoga una Psylocibin, ninatakiwa kujua composition yake kwanza kama nilivojua kwa Amoxicillin.

Hii ni taalaum you guys mtanahitaji kujua kabla ya kutumia hii Kitu.

THC ni ile stuff that makes you high and laughing too much,lol
 
Ndugu naomba utilie neno kuhusu utimiaji wa ugoro (geji). Nipo na jamaa zangu hapa tunabishana kati ya sigara na ugoro kipi kina afadhali, wengine wanadai vyote sawa kwa sababu vyote vina nicotine.

Ugoro kwa jina la kitaalamu ni Snuff.

Snuff ni zao la tumbaku kama ilivyo kwa sigara mkuu. Ni sawa na kutofautisha maziwa mtindi na maziwa fresh, yote ni maziwa tofauti ni uandaaji.

Snuff ni tumbaku iliyokaushwa na kusagwa mashine. Ambayo kwenye usagaji moja inafanywa kuwa kavu hii utaingiza kwenye pua, na nyingine inafanywa kuwa Moist , hii utaingiza chini ya mdomo kuruhusu absorption ya Nicotine.

Zote zinaleta madhara yale yale kwa Sababu Principal Active ni Nicotine isipokuwa anaeweka mdomo is likely to damage tissue za mdomoni na anaweza kudevelop Hata Saratani ya kinywa.

Ila Kuvuta sigara na ku sniff dried snuff ni hatari zaid Maana unaenda kuathiri respiratory systems yako ikiwa ni pamoja na kupata kansa ya mapafu au kuharibu sense za harufu na kunusa au kupata Asthma.

After all , unaweza kuvuta ugoro au sigara Life time yako yote na usipate ugonjwa wowote, kuna wengine wanapata kansa ya mapafu na hawajawahi kuvuta any of those things, na wengine wanavuta kila siku na hawana hayo magonjwa.

Sometimes it is a genetic issue na bloodline disease

“Everything is determined, the beginning as well as the end, by forces over which we have no control. It is determined for insects as well as for the stars. Human beings, vegetables or cosmic dust; we all dance to a mysterious tune, intoned in the distance. Albert Einstein”
 
Back
Top Bottom