Mkuu vp sex nayo inapunguza nguvu za kiroho?
Hi Naomba nijaribu kuweka baadhi ya mambo sawa kidogo...hapa kuna issue nyingi zimeongelewa...kwaio..ntazielezea kwa kifupi tu...
Kabla ya hapo naomba kutoa tahadhari ...ambacho nitasema kinaweza kukinzana na Imani ambazo labda wengi wamekua nazo..wamefundishwa etc..ambacho nilikisema kwa kifupi...Nikaambiwa niongeze Nyama (kwa Astral Projectors watanielewa). kwaio i take it 99% of what im about to tell you ndo ukweli halisi...now kubali au kataa...utaendelea kubaki hivyo.. nitaweka hoja zangu into 3 concepts:
concepts 1: kwanza Inabidi uelewe concept ya Mwili na roho, ntaeleza kwa kifupi sana,
Ndugu ,Mwili sio ORIGINAL nature/form yetu sisi wanadamu..naamini nikisema sio original nature yetu nimeeleweka.. mwanadamu ki asili ni roho..hapo wewe ulipo ni roho/spirit/soul etc, Mwili ni cover /housing/ protective case Tu...ili kuwezesha roho yako ku survive kwenye hii sayari (ambayo hatukuumbiwa sisi..ila thats another topic)..hivyo basi umeelewa kua roho ndo wewe...wewe ni roho...na ufahamu/consciousness/awareness/nafsi yako viko attached/part ya roho yako
Concepts:2 Sex, kama umenielewa concept ya kwanza..now..understand..wakati roho imeumbwa..ndo ilipewa maagizo kuhusu sex, naomba nirudie..roho zipo tayari ila sio zote zina miili..kwa lugha nyingine..ingeweza kutokea wewe kuzaliwa kabla ya mzazi wako...roho zenu zilikuepo already ila ...ya kwake yeye ilitangulia kupata mwili (Rejea kitabu cha mwanzo (bibilia), sura ya kwanza Adamu na eva roho zao zilikuepo zote kwa pamoja, Sura ya pili..unaona adam anapewa mwili wa kwanza..kisha eva anafata( kutoka ubavu wa adamu)). ILA roho ndo iliambiwa kuhusu kuzaa na sex...
Hapa ndipo complication ya sex inakuja....Lengo hasa la sex ni kuzaa..(Reproduction) hio ndo purpose ya sex sio vinginevyo..ila kilichopewa maagizo ni Roho / why?? kwanini iwe roho na wakati sex ni kitendo cha mwili??
Sex ni kitendo cha kuipa roho mwili...roho ambayo ipo tayari (Rejea bibilia,"Nimekujua kabla hujatungwa mimba"). kufanikisha hili..lazma roho nyingine zihusike kutengeneza path/gate ili roho nyingine iingie kwenye mwili(mtoto tumboni) . hivyo basi ...kufanya sex na watu hovyo..watu wengi ni hatari..mana lengo linakua sio kuzaa..na mnajiweka kwenye mazingira hatarishi ya kuingiza roho nyingine juu yenu kila mnapokutana..hii roho inayoingia..inaweza kubaki ndani ya mmoja wenu..
ni kwa sababu hii ...ubikira imekua ikichukuliwa kua kigezo kikubwa katika kuunganisha watu wawili kwenye ndoa.
kwa kifupi sana..kama una uwezo wa kukaa bila kufanya sex ...ni vema sana..otherwise jiepushe na sex na kila mtu.
concepts 3: Punyeto kuelewa hili...turudi kwenye suala la mwili...Sperms ni product tu ya mwili kama yalivyo machozi...au jasho , sperm zinapozidi mwilini NATURALLY zinatoka zenyewe ( wet dreams) .. punyeto ni kitendo tu cha kulazimisha kuzitoa...punyeto ikizidi ambacho kinaweza kutokea ni mwili kukosa nguvu..etc...ukilazimisha kitu chochote kutoka mwili tofauti na utaratibu wa mwili..utapata side effects zile zile za punyeto...ni sawa na mtu anaeharisha..(anapoteza maji mengi mwilini), hivyo hukosa nguvu,macho/kichwa kuuma etc Punyeto haina uhusiano wowote whatsoever na roho..hakuna muunganiko wowote unaofanya na roho yoyote unapofanya punyeto kwakua haiwezi kupelekea tokeo lolote linalohusisha roho.
Sperms zimekua zikiitwa fuel ya life kwa sababu 90% ya sperm ni protein (ambayo ndo building block ya cells/mwili) hio 10% ndo kuna zinc etc (fuatilia chemical content ya sperms).nb: yai la kiumbe chochote ni more than 90% protein ...mfano yai la kuku etc
mengi yanaongelewa..ila ukiwa na bahati kwa wale wanaofanya SAFE meditation na SAFE trips to astral world..ukiwa na bahati pia..ya kupata GUIDE..utaelezwa all the secrets of this world.. kwa wale wanaosoma bibilia..naamini kuna mambo labda yataanza kua clear kwenye akili zenu.
my advise..Dont do sex with everyone for fun..or dont do it at all..