Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Binadamu


Binadamu hatengenezwi ila anazaliwa ila wewe uligundua mungu alitengenezwa na binadamu? Noma kweli kweli
Mungu anatengenezwa na Binadamu ni kutokana na kila jamii inavyoishi au ilivyoishi ilitengeneza Mungu wao issue ikawa pale wanapokutana na kushindanisha Nguvu za miungu yao na Mungu wa Jamii ipi anayestahili kuwa juu ya wote kuwa juu ya mwenzio ndio ilikuwa yaonekana ndio yenye uwezo so waliokuwepo chini wakaonekana wapo down tu walijisemea Mungu wao jupo Juu wakaonekana kama ndio kweli... even yule Mungu Mwezi na Mungu Jua so almost kila kitu ni kutungwa tu na hakuna uthibitisho wa ukweli wao hadi leo hii
 
Huu Uzi Ulinishawishi Kuanza Kufundisha Self Awareness Ijapo Tunakatazwa Kufundisha Public But You Never Know Who You Teach Even Humans Are Light & Dark Spirits, Spiritual Practices Is A Hidden Knowledge It Only For Famous People BUT Lets Keep Teach It In Order To Make A World Better Place Together...

Rakims
 
Samahani Mkuu kwa kuingilia,hivi nitajuaje kama Third eye imevibrate? Pls Help
 
Rafiki Pasco wewe umefanya miujiza ipi baada kutambua unazo nguvu hizo[emoji780]
Weka hapa shuhuda zako kwa kuthibitisha unachofundisha kiko hai na siyo hadithi za kuzimu[emoji779]
 
Mkuu Rakims baada ya muda wa kama wiki wa kuufatilia huu uzi nikaona sina budi na mimi kufanya meditation nilijitahidi japo mwanzo ilikuwa ngumu maana nilikuwa nashindwa kutuliza mawazo nyangu sasa jana nikapania nilikasema leo lazima kieleweke na kweli nilienda vizuri ila kilichonishanga na kuniogopesha nkuna stage nilifika nikawa nahisi kama mvua si mvua upepo si upepo kama unanidondokea utosini hapo niliogopa sana nikajitoa haraka sana.Sasa wataalam wa haya mambo nataka nijue ile ni nini maana nisije nikaingiza majini ndani ya mwili wangu.Nawasilisha Wadau
 
Umenifurahisha sana ngadau01 kama unaswallow majini.na mimi ngoja nitafute eneo nikameditate
 
Mkuu napenda saana kujua wachaga wanamwamini mungu yupi maana wameshika saana dini ila bado wanarudi kwao kutambika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…