Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #2,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ben, Ben-adam , ni kweli uzi ni wangu mwenyewe, sio naupuuza, bali najikuta nalazimika kuukimbia, kwasababu maswali ni mengi hadi naukimbia, mimi ni msomaji tuu wa haya mambo, I dont practice, practising members wamo humu na wengine ni instructots kabisa kama wakuu Mshana Jr na Rakims . PM zinafurika inbox watu wakinidhania mimi ni mwalimu wa haya mambo, mimi ni mhabarishaji tuu.tatizo pasco ameshaupuuza
up date
Tofauti ya Mungu na shetani, Mungu haonekani, utaona mwanga tuu au kusikia sauti tuu lakini shetani anaonekana!. Hivyo akitokea mtu akatoa ushuhuda kuwa Mungu amemtokea, na yeye amemuona Mungu, na kuelezea huyo Mungu alivyo, ujue huyo aliyemtokea huyo mtu sio Mungu, ni shetani disguised as God!.
Juzi kati kuna mama mmoja Arusha katokewa na mungu, amemuona ni mwanaume!, huyo ni shetani.
NB. Shetani pia ana nguvu za kufanya miujiza, kuna wengi wanamwabudu shetani bila kujijua wakidhani ni Mungu!. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P
kitu muhimu cha kwanza ni kujitambua tuu kuwa you have the powers。Hatua ya pili ni how to use them,to chanel them zikuletee mafanikio, hapa panahitaji juhudi na mazoezi kwa kutumia the power of positive thinking kwa kuhusisha manifestation。Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na KutendaAsante mkuu ,je hizi power katika success au kazi naweza zitumiaje au kwa njia gani Kama kupata decent job , biashara n.k.
Hiyo inaweza kuwa ni Claircognizance(clear knowing) ni uwezo wa kupata taarifa au kujua jambo pasina kuelewa umejuaje, na mara nyingi huja kwa mfumo wa thoughts,words or idea.Mimi - huwa natazama jambo kabla halijatokea na kujua majibu yake na najua itakuje.
Mfano nilikuwa najua matokeo yangu ya form four na form six na hadi chuo.
Hii power huwa inaitwaje Pascal Mayalla
Then nina uwezo mkubwa wa kumshauri mtu njia za kufata na kutumia na akafanikiwa kwa 100% hata Kama anaenda sehemu ambayo Mimi sijawahi kufika.
Pia nina uwezo wa kumjua mtu huyu ni mwema au mbaya ninapomuona tu.
Nipe ABC
Hizo zote tunazoita psychic power na zimegawanywa kwa majina mbalimbali ila kwa pamoja zote huitwa ni Intuition, na intuition hututokea karibu kila siku kwa njia mbalimbali. Hata ndoto tunazoota kila siku huwa zina intuitive messages ila wengi hatufuatilii ndoto na hatujui maana zake ila unaweza kukuta tunaota ndoto zenye kutuonyesha matukio yajayo ila hatujui.Kunakitu nimejifunza nanilikiuwa sikitambui juzi kati tarehe 23.05.2023 nilikuwa nafungulia vifaranga vyangu vyenye kama miezi kadhaa ila kuna kifaranga mmoja nikamtazama nafsini nikasema huyu haponi atakufa kilichotokea hayakupita masaa matatu yule kifaranga akabebwa na mwewe ukawa mwisho wake
Wakuu embue niwekeni sawa kuhusu hiyo power inaitwaje naninaweza vipi kuitumia
ASANTENI
Zipo nguvu za miujiza ambazo zinategemea na baadhi ya koo. Kwa mfano kuna watu huwezi kuwapiga risasi a,, au hata kumchoma,, na kisu ila unaambiwa unaweza ukamuua kwa kumpiga na bua la muhindi. Kwahiyo kuna koo fulani fulani zina zina Elimu fulani za miujiza. Nakumbuka kwenye miaka ya Tisini kwenye maeneo,, na yetu kulikuwa kuna mchezo unaitwa kolokolo yaani mtu ana meza yake alafu ishorwa yale mauwa ya karata au namba alafu kunakuwa na vizuna vimeshorwa zile namba zinawekwa kwenye kikopo kisha unazungusha kisha unafunika. Kila mtu anaweka pesa kwenye namba au uwa unalo zani litakuwa sawa ni vile vizuna vilivyo funikwa. Sasa kulikuwa kuna mjamaa mmoja huyo yaani akitokea tu wenye kolokolo wote wanafunga hawataki acheze, akicheza anawafuta fedha zote. Hatahaijulikani alikuwa anatumia ujuzi gani. Kwahiyo ninacho weza kusema hivi vitu vinaendana na baadhi ya familia au watu. Unaweza kukuta familia fulani ni matajiri lakini hawajasoma na ukakuta familia fulani wote ni Maprofesa. Ukakuta familia fulani wana Roho mbaya sana na ukakuta familia nyingine ni wana Roho nzuri sana hii yote ni uwezo tofauti tofauti na ujuzi tulio nao binadamu. Watu wanasema wanigeria wanauwezo mkubwa kiuchawi, na watu wengi wanakwenda huko kujifunza, ila kikubwa nikujuwa lengo lako lakujifunza hicho kituu ni nini?Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kwenye mawazo, kwenye maneno, kwenye matendo, kwenye mahubiri, kwenye ndoto, kwenye unabii, kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.
Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manifestation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.
Tofauti ya Mungu na shetani, Mungu haonekani, utaona mwanga tuu au kusikia sauti tuu lakini shetani anaonekana!. Hivyo akitokea mtu akatoa ushuhuda kuwa Mungu amemtokea, na yeye amemuona Mungu, ujue huyo aliyemtokea ni shetani disguised as God!.
Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao.
Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.
Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viumbe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa na powers za viumbe wengine ni kubwa kuliko za binadamu, mfano mbwa, paka, panya etc.
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", "Powers of Light", nguvu za Mwanga, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the darkness, nguvu za giza, evil spirits etc.
Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".
Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.
Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you.
"I know I can, be what I wanna be!"
Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea.
Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen".
This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
Psychic Powers- ni nguvu za kufanya miujiza ambazo wengi wanazo bila kujitambua!, swali ni jee wewe unazo?!,
- Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.
- Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.
- Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
- Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.
- Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
- Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
- Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.
- Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
- Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.
- Dowsing - Ability to locate objects.
- Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.
- Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.
- Mediumship or channeling & Communicating with spirits.
- Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
- Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.
- Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
- Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
- Pyrokinesis - Manipulation of fire.
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
- Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
- Transvection - Bodily levitation or flying.
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.
Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!,
NB. Hili ni muhimu sana kuzingatia, mzingi mkuu wa mada hii ni kujitambua, self awareness, kwa vile nimesema Mungu ni Nguvu za kutenda mema, God is Powers of Lightness, na Shetani ni nguvu za kutenda maovu, is powers of darkness, the dividing line between hizi powers ni very thin.
Kuna wengi wameaminishwa kuwa shetani aliumbwa na Mungu, ukweli ni shetani hakuumbwa na Mungu, mwanzo wa Mungu, ndio mwanzo wa shetani, Mungu ana nguvu za mwanga, powers of light za kutenda mema, na shetani ana nguvu za giza, powers of darkness za kutenda maovu.
Tofauti pekee kati Mungu na shetani ni Mungu ana nguvu zaidi ya shetani na ni Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba, God The Creator, shetani hawezi kuumba, shetani kazi yake ni destruction, to destroy, na hata kwenye hiyo destruction, it's very unfortunately ni Mungu anayemruhusu kwasababu Mungu ana uwezo wa kumzuia shetani ila sio kumuangamiza!.
Shetani is very clever, ni imposter, ana penda kuji disguise as Mungu, hivyo kuna mambo mengi ikiwemo miujiza ya uponyaji inayofanyika kwenye dunia hii, huku watu wakidhani ni kazi ya Mungu, kumbe sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani. Hivyo be very careful.
Karibu tujadiliane!.
Paskali
Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua zikiwemo nguvu za giza na kila aina ya uchawi, ili ujue na kujitenga nao
- World Religions
- Traditions
- Mysteries
- What's New?
- About
- Abuse
- Books
- Bibliography
- Contact
- Credits
- Copyrights
- Donate
- Downloads
- FAQ
- Links
- Map
- Press
- Privacy
- Search
- Top Level
- Terms of Service
- Translate
- Standards
- Unicode
- Volunteer
- Wishlist
- Catalog
- African
- Age of Reason
- Alchemy
- Americana
- Ancient Near East
- Astrology
- Asia
- Atlantis
- Australia
- Basque
- Baha'i
- Bible
- Book of Shadows
- Buddhism
- Celtic
- Christianity
- Classics
- Comparative
- Confucianism
- DNA
- Earth Mysteries
- Egyptian
- England
- Esoteric/Occult
- Evil
- Fortean
- Freemasonry
- Gothic
- Gnosticism
- Grimoires
- Hinduism
- I Ching
- Islam
- Icelandic
- Jainism
- Journals
- Judaism
- Legends/Sagas
- Legendary Creatures
- LGBT
- Miscellaneous
- Mormonism
- Mysticism
- Native American
- Necronomicon
- New Thought
- Neopaganism/Wicca
- Nostradamus
- Oahspe
- Pacific
- Paleolithic
- Parapsychology
- Philosophy
- Piri Re'is Map
- Prophecy
- Roma
- Sacred Books of the East
- Sacred Sexuality
- Shakespeare
- Shamanism
- Shinto
- Symbolism
- Sikhism
- Sub Rosa
- Swedenborg
- Tantra
- Taoism
- Tarot
- Thelema
- Theosophy
- Time
- Tolkien
- UFOs
- Utopia
- Women
- Wisdom of the East
- Zoroastrianism