Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mimi - huwa natazama jambo kabla halijatokea na kujua majibu yake na najua itakuje.

Mfano nilikuwa najua matokeo yangu ya form four na form six na hadi chuo.

Hii power huwa inaitwaje Pascal Mayalla

Then nina uwezo mkubwa wa kumshauri mtu njia za kufata na kutumia na akafanikiwa kwa 100% hata Kama anaenda sehemu ambayo Mimi sijawahi kufika.

Pia nina uwezo wa kumjua mtu huyu ni mwema au mbaya ninapomuona tu.

Nipe ABC
 
Mimi - huwa natazama jambo kabla halijatokea na kujua majibu yake na najua itakuje.
hapa fafanua zaidi kidogo
Mfano nilikuwa najua matokeo yangu ya form four na form six na hadi chuo.
hii inaitwa the power of expectation,unadhamiria kupasua, unafanya bidii, unapasua,
Hii power huwa inaitwaje Pascal Mayalla
Mkuu DR HAYA LAND,
Una powers za Precognition!, extrasensory perception or a sixth sense ya premonition
Then nina uwezo mkubwa wa kumshauri mtu njia za kufata na kutumia na akafanikiwa kwa 100% hata Kama anaenda sehemu ambayo Mimi sijawahi kufika.
Hiyo inaitwa the power of suggestion, ukimshauri mtu kitu,anafanikiwa。
Pia nina uwezo wa kumjua mtu huyu ni mwema au mbaya ninapomuona tu.

Nipe ABC
Hiyo ni power ya pre cognitive,una uwezo wa kusoma kitu kinachoitwa aura。
P
 
Pasco kuna kitabu niliwahi kukisoma zamani na kujaribu kupractise nikawa naona kama inakuwa kweli.ni vitu vya kawaida ila ni rahisi kutokuvifanya kwa kujisahau
Inahitajika kuupa ubongo chakula chake kikuu ambacho ni oxygen then utaongeza thinking capacity against mambo yanayokuzunguka.
Namna ya kulala,Kujenga imani,kupata utulivu wa rangi na fresh flowers vyote hufungua milango ya nguvu hizi
Pia kutoa kiasi ya ulichonacho kws wahitaji hukuongezea,hii niliijaribu nikiwa chuo na ika-work out siku hiyo hiyo.kwa kifupi huwezi kupata zaidi kama hutumii(refer Bill Gates)
Mtu anayepractise njia hizi ile kumtazama tumgonjwa anaweza kujua kama atapona au la..bila kujali muonekano wake wa nje
Hakika nilifikia mahali nikasema ukiacha bible that was my second favourite book...
mkuu Inkoskaz
hicho kitabu unachozungumzia hapo unacho??
je nifanyaje ili na mimi nikipate??
kama unaweza nisaidia kukipata fanya hivyo mkuu
 
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekondari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, Kibosho na Weruweru, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimzimikia tuu binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigongana tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!. Yule binti akirudi, haniangalii tena kwa aibu, naamini tulichokifanya!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa ndio balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!, hivyo JKT tulichakaza sana!.

Nilipoanza kazi, nikajikuta huwa ninakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuwa akisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upande ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers through manifestation.
Pasco.
Ndio maana wanaume malaya wanagombaniwa na wanawake kwa sababu hawako katika STATE OF LACK, wameshiba papuchi wanatomba kila siku na kila saa. THEY ARE VIBRATING at a frequency of ABUNDANCE ndio maana wanawake wanawafuata kama sumaku.

Mwenye nacho anaongezewa zaidi, na asiye nacho hata kile kidogo alichonacho ananyang'anywa.
Ni kweli!, the same applies kwa wanawake viruka njia na waachiaji, wanakolea kuliko waliojitunza na kujituliza!, as a result wanagombewa!.
P.
 
Mkuu DR HAYA LAND,
Una powers za Precognition!, extrasensory perception or a sixth sense ya premonition
P
Kwa hapa nitaenda tofauti kidogo na wewe kwa maana kasema NATAZAMA JAMBO LINATOKEA hajasema NIKIOTA JAMBO LINATOKEA!

Hivyo kwa maelezo aliyotoa kwenye Ujumbe wake ni kwamba anaona jambo likiendelea au likifuata dakika chache zijazo kitu ambacho kinamfunga kuwa kwenye second sight ambayo inamfanya aweze kuaccess Clairvoyance kwa uchache ambayo inampa posibility ya utambuzi ujao hasa ukizingatia hapo anasema akimshauri mtu inakuwa ni 100% hivyo hana Precognition.
Na hata ukimuelekeza jinsi ya kuamsha precognition hawezi kupata ndoto ya future na ukimfundisha kuvibrate third eye atakuwa na ability nzuri upande wa clairvoyance

Rakims S.
 
So nina aina gani ya POWER mkuu ?
 
Kwa kuanzia inabidi upate mwalimu kuna temple moja pale karibu na makaburi ya Muhimbili wanakuwa na meditation sessions kila week waweza fikra pale

Kama unataka kufanya mwenyewe nitajaribu kukutafutia vitabu, kwakuwa kuna mengi ya kufanya kuanzia mavazi lishe vinywaji nk nk kwa mfano kwenye mavazi: Nguo za kubana sana si nzuri, chakula mara nyingi linatakiwa kiwe cha asili na fresh kisiungwe sana ,Epuka vyakula, vya supermarket , soda na hz juice za viwandani vyote c vizr kwa afya ya akili kuna mengi ya kufahamu, kukaa kulala kutembea ni mengi
Mkuu mshana Mimi nipo morogoro je kuna temple yeyote hapa morogoro inayotoa mafunzo haya au la kama hamna je utanisaidiaje kupata maarifa hayo
 
So nina aina gani ya POWER mkuu ?
Wapo watu watakuja na kukwambia kuwa una experience Dejavu lakini hapana hii ni Second Sight ambayo inakusadia katika kupredict event itakayotokea wakati uliopo au wakati ujao lakini kwa uchache sana na haikupi nafasi ya kujua ni muda gani exactly hilo jambo linatokea.

Precognition - ni ability ya kuota kijacho
Dejavu - ni ability ya kuexperience kitu ulichonacho muda huo na kukufanyia kama kumbukumbu kuwa unarudia tukio lile lile.
Second sight - ni ability inayokupa experience ya hisia katika kipindi kifupi ulichonacho au kinachokuja punde ambayo inapelekea wewe kuwa mtabiri wa jambo usilo na hakika nalo kisha likapotea nguvu hii inavunguka na kufanya kazi kwa kuzubaa. Penda sana kuzubaa utakuwa unaona mengi.

Rakims
 
Mkuu asante ila, Naomba kuelewa katika kuzubaa hapo.
 
Kwenye meditation unaweza kuwapata malaika kama wanavopatikana majini wa asili tofauti tofauti?
 
Back
Top Bottom