Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Japo huyo mtu umfahamu, hiyo process ya kubadili miili naijua na ipo, niliisoma kwenye kitabu cha Linda Goodman's Star Signs.

Mtu ukizeeka sana mpaka age mate wako wanakwisha, unaona noma kuendelea kuishi hivyo hapo unauvua huo mwili uliozeeka, hapo unakuwa pronounced dead, halafu una asume body ya mtu mwingine mahali pengine na kuendelea kuishi as that other fellow.
P
Boss naomba nisaidie hicho kitabu PM nami nipate maujuzi
 
Mkuu Pascal Mayalla , kwa heshima na taadhima, ukishanijibu maswali yangu hapo juu, naomba nikuulize swali kuhusu Paul Kagame.

Na yeye nilisikia anajihusisha na haya maswala ya kuvaa miili.

TAFADHALI, USINICHOKE.
Hiyo ya Kagame sijaisikia, ila wavaa mwili lazima wabadilike from time to time, mfano mzuri ni hapa Tanzania, so far hakuna Mtu mwingine aliemvaa Mwalimu Nyerere. Ila yule Mbunge Regia Mtema kabla ya kuondoa dunia hii, alimtafuta huyu Binti Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
P
 
Wanabodi,

Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.

Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kwenye mawazo, kwenye maneno, kwenye matendo, kwenye mahubiri, kwenye ndoto, kwenye unabii, kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manifestation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viumbe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa na powers za viumbe wengine ni kubwa kuliko za binadamu, mfano mbwa, paka, panya etc.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", "Powers of Light", nguvu za Mwanga, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the darkness, nguvu za giza, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
  1. Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.
  2. Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.
  3. Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
  4. Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.
  5. Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
  6. Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
  7. Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.
  8. Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
  9. Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.
  10. Dowsing - Ability to locate objects.
  11. Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.
  12. Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.
  13. Mediumship or channeling & Communicating with spirits.
  14. Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
  15. Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.
  16. Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
  17. Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
  18. Pyrokinesis - Manipulation of fire.
  19. Remote viewing - Gathering of information at a distance.
  20. Retrocognition - Perception of past events.
  21. Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
  22. Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
  23. Transvection - Bodily levitation or flying.
Psychic Powers- ni nguvu za kufanya miujiza ambazo wengi wanazo bila kujitambua!, swali ni jee wewe unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!,
NB. Hili ni muhimu sana kuzingatia, mzingi mkuu wa mada hii ni kujitambua, self awareness, kwa vile nimesema Mungu ni Nguvu za kutenda mema, God is Powers of Lightness, na Shetani ni nguvu za kutenda maovu, is powers of darkness, the dividing line between hizi powers ni very thin.

Shetani is very clever, ni imposter, ana penda kuji disguise as Mungu, hivyo kuna mambo mengi ikiwemo miujiza ya uponyaji inayofanyika kwenye dunia hii, huku watu wakidhani ni kazi ya Mungu, kumbe sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani. Hivyo be very careful.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua zikiwemo nguvu za giza na kila aina ya uchawi, ili ujue na kujitenga nao

  1. World Religions
  2. Traditions
  3. Mysteries
  4. What's New?
  5. About
  6. Abuse
  7. Books
  8. Bibliography
  9. Contact
  10. Credits
  11. Copyrights
  12. Donate
  13. Downloads
  14. FAQ
  15. Links
  16. Map
  17. Press
  18. Privacy
  19. Search
  20. Top Level
  21. Terms of Service
  22. Translate
  23. Standards
  24. Unicode
  25. Volunteer
  26. Wishlist
  27. Catalog
  28. African
  29. Age of Reason
  30. Alchemy
  31. Americana
  32. Ancient Near East
  33. Astrology
  34. Asia
  35. Atlantis
  36. Australia
  37. Basque
  38. Baha'i
  39. Bible
  40. Book of Shadows
  41. Buddhism
  42. Celtic
  43. Christianity
  44. Classics
  45. Comparative
  46. Confucianism
  47. DNA
  48. Earth Mysteries
  49. Egyptian
  50. England
  51. Esoteric/Occult
  52. Evil
  53. Fortean
  54. Freemasonry
  55. Gothic
  56. Gnosticism
  57. Grimoires
  58. Hinduism
  59. I Ching
  60. Islam
  61. Icelandic
  62. Jainism
  63. Journals
  64. Judaism
  65. Legends/Sagas
  66. Legendary Creatures
  67. LGBT
  68. Miscellaneous
  69. Mormonism
  70. Mysticism
  71. Native American
  72. Necronomicon
  73. New Thought
  74. Neopaganism/Wicca
  75. Nostradamus
  76. Oahspe
  77. Pacific
  78. Paleolithic
  79. Parapsychology
  80. Philosophy
  81. Piri Re'is Map
  82. Prophecy
  83. Roma
  84. Sacred Books of the East
  85. Sacred Sexuality
  86. Shakespeare
  87. Shamanism
  88. Shinto
  89. Symbolism
  90. Sikhism
  91. Sub Rosa
  92. Swedenborg
  93. Tantra
  94. Taoism
  95. Tarot
  96. Thelema
  97. Theosophy
  98. Time
  99. Tolkien
  100. UFOs
  101. Utopia
  102. Women
  103. Wisdom of the East
  104. Zoroastrianism
Aise kumbe
 
Mkuu Mimi macho yangu naweza nikawa natembea barabarani alafu MAGARI nayaona MADOGO yaan nina uwezo wa kuzoom in & out yaan gari kubwa naona km kigari kidogo tu au kuna wakati nikiitumia simu naona km ipo kwenye uso wangu yaan maandishi nayaona hapa hata shule darasani nilikua nakaa nyuma kabisa maana nikikaa mbele nilikua nashindwa kuona vizuri, hii imekaaje mkuu ni power au ni uwezo wa kuona mbali?
 
It's powers of observatory powers, binadamu tuna five senses, vision, sound, smell, taste and touch na five sense organs macho, pua, masikio, ulimi na ngozi.

Baadhi ya watu wanakuwa wamejaaliwa uwezo mkubwa wa sense fulani kuliko wengine. Mfano watu wanaozaliwa vipovu wanakuwa na very strong sense of smell and sound. Wanawake wana very strong sense of touch, ukifanikiwa tuu kumgusa yale maeneo sensitive ya mwili wake, ni kwisha kazi!.

Kwenye vision pia kuna baadhi ya watu macho yao yanaona kuliko macho ya kawaida, wanaona mbali, wachawi na wanyama jamii ya paka, wana night vision wanaona usiku kama mchana, wakati kuna wengine ni myopic hawaoni mbali na wengine wana color blindness.

Walimu wa Shule zote wanawajibu wa kuwaripoti watoto wenye vipaji adimu ili wapewe special observation na mwisho wa siku wawe recruited kwa wale "jamaa zetu wa sehemu".

Kuna watu wana senses za ziada wanakuwa na kitu kinachoitwa Extrasensory perception - Wikipedia, wengine wana
very strong sense of smell, wengine sense of taste, wengine sense of touch na wengine sense of hearing, hata sindano ikidondoka sakafuni wanausikia mlio.

The most powerful sense is the sixth sense, hii ni sense ya kuhisi, kwenye sixth sense, iko ya aina nyingi, na inaitwa kwa majina tofauti tofauti, third aye, intuition, voices from within, preconceptions, premonition, clairvoyant, kama nilivyo zitaja kule mwanzo
P
 
Mhhh, hii mbona ni spiritual corruption ya hali ya juu!!! Very evil!!!!

Asante sana kwa kunipa haya maarifa makubwa!

Kwahiyo, huyo kijana ambaye amekufa kimazingira, roho yake inaenda wapi?

Kwa sababu ndani ya mwili wa yule kijana palikuwa na roho yake.

Sasa inapotokea huyu mvamizi kavamia mwili wa huyu kijana, maana yake panakuwa na roho mbili ndani ya mwili mmoja? yaani roho ya kijana na roho ya mvamizi? (KUMBUKA HUYU KIJANA HAJAFA KIUKWELI UKWELI, BADO YUPO).

NA PIA, Kwa ufahamu wako, umewahi kukutana na scenario ya mwanasiasa wa Tanzania kufanya jambo kama hili? au mtu maarufu?

NA PIA, huyu "mtu" mwenye uwezo wa kuhama miili, anakuwa ni roho ya kawaida ya binadamu, au ni roho ya pepo inayokuwa inapenda kuchukua miili ya binadamu? Au ni kiumbe wa aina gani huyu?
Mkuu Pascal Mayalla nilikuuliza haya maswali hapa
 
Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!

Somo la pili. ni picha ya pili.

Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.

Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.

Pasco.
Mkuu Ulipo Heshima Yako,Nimepitia Uzi Wote,Kuna Kitu Nimejifunza!
Hatua Ya Kwanza Kwa Zoezi Ulilolitoa Nimekwisha Imaliza, Tafadhali Rudi Naomba Hatua Ya Pili.
 
Mhhh, hii mbona ni spiritual corruption ya hali ya juu!!! Very evil!!!!
Yes every highest state spiritual control is like evil!.
Asante sana kwa kunipa haya maarifa makubwa!

Kwahiyo, huyo kijana ambaye amekufa kimazingira, roho yake inaenda wapi?
Roho zote hazifi ni eternal, kwenye reincarnation sio kila roho zina reincarnate, roho nyingine zinabaki zikitanga tanga kwenye ulimwengu wa roho, as wondering spirits or ghosts.
Kwa sababu ndani ya mwili wa yule kijana palikuwa na roho yake.
Miili ni makasha tuu!, roho ndio kila kitu!, roho ikiisha toka mwili is nothing ndio maana dini zote zinazoamini kwenye after life na reincarnation, mtu akifa tuu ni cremation!.
Sasa inapotokea huyu mvamizi kavamia mwili wa huyu kijana, maana yake panakuwa na roho mbili ndani ya mwili mmoja?
No kabla hajauvamia huo mwili wa kijana, hatua ya kwanza ni kumtoa roho, ili achukue mwili.
yaani roho ya kijana na roho ya mvamizi? (KUMBUKA HUYU KIJANA HAJAFA KIUKWELI UKWELI, BADO YUPO).
Kufa ni roho kuacha mwili!, hivyo hatua ya kwanza ni kumtoa kijana roho hivyo kwenu anakuwa kama amekufa mwili, mnaweza hadi kuzika, kisha usiku jamaa anafuata mwili wake, na kwenda kuishi mbali.

Ikitokea huko alipo kuna mtu anamjua, akirudi kuripoti amemuona, mkipata kibali kufukua kaburi mtakuta jeneza tupu!.
NA PIA, Kwa ufahamu wako, umewahi kukutana na scenario ya mwanasiasa wa Tanzania kufanya jambo kama hili? au mtu maarufu?
No!. Ila nikiwa jeshini JKT Makotupora 1988 kuna jank fulani wa Mirambo nimemsahau jina, alisema amepata reincarnation ya Bruce Lee!. Alikuwa anapiga pushups 100 za kidole gumba!. Anapasua tofali la zege kwa karate!. Baada ya JKT aikwenda UDSM, nikasikia akiwa 2nd year alipata mental case, akapigwa DISCO, then he died mysteriously!.
NA PIA, huyu "mtu" mwenye uwezo wa kuhama miili, anakuwa ni roho ya kawaida ya binadamu, au ni roho ya pepo inayokuwa inapenda kuchukua miili ya binadamu? Au ni kiumbe wa aina gani huyu?
Hizo ni highest states of spiritualism. You can control death!.
P
 
Yes every highest state spiritual control is like evil!.

Roho zote hazifi ni eternal, kwenye reincarnation sio kila roho zina reincarnate, roho nyingine zinabaki zikitanga tanga kwenye ulimwengu wa roho, as wondering spirits or ghosts.

Miili ni makasha tuu!, roho ndio kila kitu!, roho ikiisha toka mwili is nothing ndio maana dini zote zinazoamini kwenye after life na reincarnation, mtu akifa tuu ni cremation!.

No kabla hajauvamia huo mwili wa kijana, hatua ya kwanza ni kumtoa roho, ili achukue mwili.

Kufa ni roho kuacha mwili!, hivyo hatua ya kwanza ni kumtoa kijana roho hivyo kwenu anakuwa kama amekufa mwili, mnaweza hadi kuzika, kisha usiku jamaa anafuata mwili wake, na kwenda kuishi mbali.

Ikitokea huko alipo kuna mtu anamjua, akirudi kuripoti amemuona, mkipata kibali kufukua kaburi mtakuta jeneza tupu!.

No!. Ila nikiwa jeshini JKT Makotupora 1988 kuna jank fulani wa Mirambo nimemsahau jina, alisema amepata reincarnation ya Bruce Lee!. Alikuwa anapiga pushups 100 za kidole gumba!. Anapasua tofali la zege kwa karate!. Baada ya JKT aikwenda UDSM, nikasikia akiwa 2nd year alipata mental case, akapigwa DISCO, then he died mysteriously!.

Hizo ni highest states of spiritualism. You can control death!.
P
Ahsante sana. Duuh.

Nina maswali mengi sana, lakini naomba unijibu hili la mwisho kwa leo.

1. Umesema mchakato wa kwanza wa huyu mvamizi ni kutoa roho ya kijana.

2. Hii roho ya "kijana" ikishatolewa kwa nguvu, inakuwa haina hamu ya kurudi tena ndani ya mwili? inakuwa haina ari ya ku-claim mwili wake au kuwa na nguvu fulani ya kupambana na mvamizi?

SWALI LANGU HAPA LA MSINGI: Kwenye hii body takeover ya kivamizi, kunakuwa hakuna mashindano fulani ya kiroho au mapigano baina ya hizi roho mbili ya mvamizi na ya kijana?

SAMAHANI.
 
Ahsante sana. Duuh.

Nina maswali mengi sana, lakini naomba unijibu hili la mwisho kwa leo.

1. Umesema mchakato wa kwanza wa huyu mvamizi ni kutoa roho ya kijana.
Kwenye ulimwengu wa mwili, the physical world, every human being is an animal by nature, hence the law of the jungle applies, kama simba anavyomtafuna swala bila huruma, ndivyo masimba kwenye spiritual wanavyo vitafuna viswala bila huruma!.

Kwenye reincarnation, roho ya binadamu akifa anaweza kuzaliwa mbwa, paka au hata panya, hivyo hao wenye uwezo huo wa kuchukua miili ya watu, zile roho zao huzigeuza mbwa, paka au panya!.

Dini Kuu mbili za wana wa Ibrahim, Wakristo na Waislamu, don't believe in reincarnation ni ushetani!. Wachawi pia hutumia powers hizi kuchukua watu kichawi huku ndugu mkizika mgomba
2. Hii roho ya "kijana" ikishatolewa kwa nguvu, inakuwa haina hamu ya kurudi tena ndani ya mwili? inakuwa haina ari ya ku-claim mwili wake au kuwa na nguvu fulani ya kupambana na mvamizi?
The law of the jungle applies, hao wavamizi hutafuta watu weak ndio huwatoa roho, ukiwa strong in whatever the belief, hawakuwezi!, sometimes kuna mapambo spiritual battles ndio ile mtu anaumwa hadi mnajua atakufa akipambana au mkimpambania nguvu za giza zinashindwa anapona!.
SWALI LANGU HAPA LA MSINGI: Kwenye hii body takeover ya kivamizi, kunakuwa hakuna mashindano fulani ya kiroho au mapigano baina ya hizi roho mbili ya mvamizi na ya kijana?
Mapambano yapo kama nilivyoeleza hapo juu ukiwa weak unaondoka!. Hata kwenye uchawi, only the weak in spirit ndio wanalogeka, ukiwa strong hulogeki!.

SAMAHANI.
Bila samahani.
p
 
Kwenye ulimwengu wa mwili, the physical world, every human being is an animal by nature, hence the law of the jungle applies, kama simba anavyomtafuna swala bila huruma, ndivyo masimba kwenye spiritual wanavyo vitafuna viswala bila huruma!.

Kwenye reincarnation, roho ya binadamu akifa anaweza kuzaliwa mbwa, paka au hata panya, hivyo hao wenye uwezo huo wa kuchukua miili ya watu, zile roho zao huzigeuza mbwa, paka au panya!.

Dini Kuu mbili za wana wa Ibrahim, Wakristo na Waislamu, don't believe in reincarnation ni ushetani!. Wachawi pia hutumia powers hizi kuchukua watu kichawi huku ndugu mkizika mgomba

The law of the jungle applies, hao wavamizi hutafuta watu weak ndio huwatoa roho, ukiwa strong in whatever the belief, hawakuwezi!, sometimes kuna mapambo spiritual battles ndio ile mtu anaumwa hadi mnajua atakufa akipambana au mkimpambania nguvu za giza zinashindwa anapona!.

Mapambano yapo kama nilivyoeleza hapo juu ukiwa weak unaondoka!. Hata kwenye uchawi, only the weak in spirit ndio wanalogeka, ukiwa strong hulogeki!.

Bila samahani.
p
Very interesting. Ahsante sana.

Sijui nikuulize swali lingine, au umechoka!?

Kama hautajali naomba nikuulize swali lingine tena.

SAMAHANI.
 
Very interesting. Ahsante sana.

Sijui nikuulize swali lingine, au umechoka!?

Kama hautajali naomba nikuulize swali lingine tena.

SAMAHANI.
Bila samahani, unapokutana na mtu Inquisitive kama wewe, kwanza type ya maswali yako yanaonyesha intelligence ya mtu!, hii if ya sasa vilaza wametamalaki sana humu, hivyo unapokutana na an intelligent fellow, you'll be more than happy!, uliza tuu chochote na nijakujibu na sichokagi kujibu!.

Asante sana, i am very humbled. Majibu yako ni mazuri sana na yananipa maswali mengi.

Naomba nikuulize kitu kuhusu mwanasiasa anaitwa UPENDO PENEZA. Naamini unamfahamu.

Kwa utambuzi wako, unadhani kwamba mwili wa UPENDO PENEZA unatumiwa na marehemu REGIA MTEMA?

Nauliza swali hili kutokana na uzi wako uliouandika kuhusu hawa watu wawili na nimekuwa nikijiuliza sana kama hichi ndicho ulichomaanisha.

Samahani kama swali langu litakuwa limevuka privacy ya hawa watu wawili. Lengo langu ni kutaka kujua tu kuhusu UWEZEKANO wa hili jambo.

Na kwa jinsi inavyoonekana, kwa mtiririko wa mahusiano ya hawa watu wawili katika kipindi cha mwisho cha uhai wa REGIA MTEMA, nashawishika kuamini kwamba wakati mwingine kunakuwa na MKATABA FULANI WA KIROHO wa mtu kuamua mwenyewe kwa ridhaa yake kumpa mwili wake mtu mwingine? Hii inawezekana?

Kama hivyo ndivyo, ni yapi hasa yanaweza kuwa malipo na masharti ya aina hii ya MKATABA? Ni mkataba halali?
 
Bila samahani, unapokutana na mtu Inquisitive kama wewe, kwanza type ya maswali yako yanaonyesha intelligence ya mtu!, hii if ya sasa vilaza wametamalaki sana humu, hivyo unapokutana na an intelligent fellow, you'll be more than happy!, uliza tuu chochote na nijakujibu na sichokagi kujibu!.
P
Mimi nimejaribu sana kujifunza meditation, lakini kutokana na kusongwa na mawazo mengi ya kidunia, huwa siwezi kuconcentrate. Yaani nikianza tu mawazo yanakuja mengi mchanganyiko, hata dakika moja siwezi kutuliza akili. Naomba msaada je nifanyeje ili niweze ku concentrate? Natamani sana kuamsha my psychic powers maana najua ninazo
 
Ni kweli kila mtu anazo. Waalimu wa kutosha tuu tunao humu, TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia huyu Mkuu Mtambuzi ndie ticha mkuu.
P
 
Back
Top Bottom