Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!

Somo la pili. ni picha ya pili.

Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.

Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.

Pasco.
Twende Hatua Inayofuata Mkuu....
 
Hilo tangazo pia nimelisikia, mmoja wa shiriki ni Aunt Sadaka, huyo ukimsikia ni very powerful woman with full of powers.

Mara yangu ya kwanza kusoma kuhusi hizi PSI Powers ni kitabu cha Arthur C. Clarke's Mysterious World / World of Strange Powers , then nikaja kumsoma [h=3]Uri Geller - "The Power of the Mind vs Science - Uri Geller: Psychic", "Fortune Secrets, na "TheStrange World of Uri Geller".
[/h]Kuhusu Tendo la ndoa na utajiri/umasikini nilimsoma Linda Goodman's Love Signs , uki do na mwanamke mwenye mkosi, utakumbwa na ma balaa, mikosi na umasikini. U do na mwenye bahati, mambo yakunyookea!.

Kipimo cha kujua mwenye balaa, unaona kila dalili za kumkosa zinatokea ila unalazimisha, mara ya kwanza mtapanga siku ikifika anakuja na kukumbia "zimenianza ghafla!", utaahirisha, mkipanga tena mara unajikuta huna pesa za guest au kinatokea kitu, mara ya tatu yuko oke, uko ok, pesa unazo, unazunguka guest/hoteli moja hadi nyingine unakuta vyumba vimejaa!, au unapata chumba, then "co.." hakuna!, ujue hizo zote ni dalili za kukuepusha, ukilazimisha ujue unatafuta majanga!.

Tena usithubutu kutoka bila kuoga ndio makubwa yatakufika, unaweza kupata pancha ya kwanza, hujafika petrol station inapata ya pili, unaweza kupata ajali, au mkosi wowote!, ndio maana timu huweka kambi kabla ya mechi muhimu ili kuzuia wachezaji wasi duu wakaleta mikosi!, japo Ronaldo alikiri huwa ana do kabla ya mecho zote kubwa!.

Tendo la ndoa likitumika vizuri, ni baraka, likitumika vibaya ni balaa!.
Pasco.
Mkuu mfano ndiyo umepata mikosi kupitia hao wanawake? Nini Cha kufanya kuondoa hiyo Hali ya mikosi?
 
Mkuu mfano ndiyo umepata mikosi kupitia hao wanawake? Nini Cha kufanya kuondoa hiyo Hali ya mikosi?
Mkuu Natokea Kanda Maalum, ukiisha jaribu mara tatu ukakosa, leave it, achana naye, potezea!. Ila kama mwili ni dhaifu, ukipania kutafuna hiyo nyama ni lazima ule, then, usile 'bila kunawa!', na ukimaliza kula aga!, usiondoke bila kuoga!, hii maana yake chakula hicho lazima kiliwe mahali sahihi pa kulia chakula hicho, ili ukimaliza kula hayo mazagazaga, uweze to do the right thing, na sio zile za fast food, short time na one night stand, za kwenye gari, kajificheni au vichakani!.
P
 
Mkuu Von Bismack, kwanza asante kwa yote na asante kubwa zaidi ni kwa wewe kuteua niwe mwalimu wako, hii ni heshma kubwa kwangu.
Kanuni ya kwanza ya meditation ni "When the student is ready, the teacher will appear", kumaanisha mwanafunzi ukiwa tayari ndipo mwalimu atatokea.
Kwa bahati mbaya sana, mimi sio mwalimu, mimi nasoma vitabu tuu na kushare nilichosoma, ila humu jf tuna waalimu, wanafundisha, wana ma groups na pia Tanzania tuna vyuo kabisa nita ku link nao kupitia kwa mkuu huyu

Baadhi ya mada ni hizi
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!. - JamiiForums
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Yoga, Meditation au Tahajudi. - JamiiForums
Mwanzo wa meditation - JamiiForums
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" - JamiiForums
Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) - JamiiForums
P
Mkuu any place kwa sasa ambayo wanaitumia as centre ya meditation like a Temple flan au eneo maalum ambalo hukutania. Najua inafanyika mazingira yoyote yale ambayo ni condusive and I always doing that lakini nilikua natamani kujua kama kuna centre/temple/area maalum kwa dsm.
 
Mkuu any place kwa sasa ambayo wanaitumia as centre ya meditation like a Temple flan au eneo maalum ambalo hukutania. Najua inafanyika mazingira yoyote yale ambayo ni condusive and I always doing that lakini nilikua natamani kujua kama kuna centre/temple/area maalum kwa dsm.
Follow hizo links ni centre za meditation. Maeneo ya Kisutu kuna temples kibao ila ni za Hindu na Buddhist temples.

Kama ni ku meditate kwa sehemu kimya tulivu, nenda hata kanisa lolote siku ambazo sio za ibada, ingia u meditate, hata Jesus alikuwa ana meditate.
P
 
Follow hizo links ni centre za meditation. Maeneo ya Kisutu kuna temples kibao ila ni za Hindu na Buddhist temples.

Kama ni ku meditate kwa sehemu kimya tulivu, nenda hata kanisa lolote siku ambazo sio za ibada, ingia u meditate, hata Jesus alikuwa ana meditate.
P
Nashkuru sana mkuu. Kwa hizo za Hindu na Buddhist ndo mahala pake lakini haya makanisa yetu uelewa wa spiritual journey bado ni mdogo, yaani wakukute labda umepiga zako cross legged afu mgongo straight lazima uwape maelezo ya kutosha hawachelewi kuhisi ni unawanga
 
Mkuu any place kwa sasa ambayo wanaitumia as centre ya meditation like a Temple flan au eneo maalum ambalo hukutania. Najua inafanyika mazingira yoyote yale ambayo ni condusive and I always doing that lakini nilikua natamani kujua kama kuna centre/temple/area maalum kwa dsm.
Mkuu samahani, nimekupm maana nina shida binafsi na ww

Naomba fungua pm yako unisaidie
 
Nashkuru sana mkuu. Kwa hizo za Hindu na Buddhist ndo mahala pake lakini haya makanisa yetu uelewa wa spiritual journey bado ni mdogo, yaani wakukute labda umepiga zako cross legged afu mgongo straight lazima uwape maelezo ya kutosha hawachelewi kuhisi ni unawanga
No sio lazima ukifanya meditation u fanye the Hindu ways or the Buddhist ways, you can do it the American way you just sit in any position comfortable sio lazima the lotus position.

Hivyo kanisani you just sit and meditate.

P
 
Hii kitu nilishawai anza kuifanya lakini ikawa kama mauzauza mana nilibadilika nikawa najitenga sana. Yani kupenda kukaa mwenyewe na pia usiku nilikuwa silali mana vitu vya kutisha vilikuwa vingi. Ila nataka kujifunza jinsi ya kujicontrol. Sijui wapi naweza kupata mafunzo.
 
Wanabodi,

Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.

Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kwenye mawazo, kwenye maneno, kwenye matendo, kwenye mahubiri, kwenye ndoto, kwenye unabii, kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manifestation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viumbe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa na powers za viumbe wengine ni kubwa kuliko za binadamu, mfano mbwa, paka, panya etc.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", "Powers of Light", nguvu za Mwanga, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the darkness, nguvu za giza, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
  1. Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.
  2. Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.
  3. Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
  4. Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.
  5. Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
  6. Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
  7. Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.
  8. Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
  9. Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.
  10. Dowsing - Ability to locate objects.
  11. Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.
  12. Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.
  13. Mediumship or channeling & Communicating with spirits.
  14. Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
  15. Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.
  16. Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
  17. Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
  18. Pyrokinesis - Manipulation of fire.
  19. Remote viewing - Gathering of information at a distance.
  20. Retrocognition - Perception of past events.
  21. Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
  22. Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
  23. Transvection - Bodily levitation or flying.
Psychic Powers- ni nguvu za kufanya miujiza ambazo wengi wanazo bila kujitambua!, swali ni jee wewe unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!,
NB. Hili ni muhimu sana kuzingatia, mzingi mkuu wa mada hii ni kujitambua, self awareness, kwa vile nimesema Mungu ni Nguvu za kutenda mema, God is Powers of Lightness, na Shetani ni nguvu za kutenda maovu, is powers of darkness, the dividing line between hizi powers ni very thin.

Shetani is very clever, ni imposter, ana penda kuji disguise as Mungu, hivyo kuna mambo mengi ikiwemo miujiza ya uponyaji inayofanyika kwenye dunia hii, huku watu wakidhani ni kazi ya Mungu, kumbe sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani. Hivyo be very careful.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua zikiwemo nguvu za giza na kila aina ya uchawi, ili ujue na kujitenga nao

  1. World Religions
  2. Traditions
  3. Mysteries
  4. What's New?
  5. About
  6. Abuse
  7. Books
  8. Bibliography
  9. Contact
  10. Credits
  11. Copyrights
  12. Donate
  13. Downloads
  14. FAQ
  15. Links
  16. Map
  17. Press
  18. Privacy
  19. Search
  20. Top Level
  21. Terms of Service
  22. Translate
  23. Standards
  24. Unicode
  25. Volunteer
  26. Wishlist
  27. Catalog
  28. African
  29. Age of Reason
  30. Alchemy
  31. Americana
  32. Ancient Near East
  33. Astrology
  34. Asia
  35. Atlantis
  36. Australia
  37. Basque
  38. Baha'i
  39. Bible
  40. Book of Shadows
  41. Buddhism
  42. Celtic
  43. Christianity
  44. Classics
  45. Comparative
  46. Confucianism
  47. DNA
  48. Earth Mysteries
  49. Egyptian
  50. England
  51. Esoteric/Occult
  52. Evil
  53. Fortean
  54. Freemasonry
  55. Gothic
  56. Gnosticism
  57. Grimoires
  58. Hinduism
  59. I Ching
  60. Islam
  61. Icelandic
  62. Jainism
  63. Journals
  64. Judaism
  65. Legends/Sagas
  66. Legendary Creatures
  67. LGBT
  68. Miscellaneous
  69. Mormonism
  70. Mysticism
  71. Native American
  72. Necronomicon
  73. New Thought
  74. Neopaganism/Wicca
  75. Nostradamus
  76. Oahspe
  77. Pacific
  78. Paleolithic
  79. Parapsychology
  80. Philosophy
  81. Piri Re'is Map
  82. Prophecy
  83. Roma
  84. Sacred Books of the East
  85. Sacred Sexuality
  86. Shakespeare
  87. Shamanism
  88. Shinto
  89. Symbolism
  90. Sikhism
  91. Sub Rosa
  92. Swedenborg
  93. Tantra
  94. Taoism
  95. Tarot
  96. Thelema
  97. Theosophy
  98. Time
  99. Tolkien
  100. UFOs
  101. Utopia
  102. Women
  103. Wisdom of the East
  104. Zoroastrianism
Huu uzi una madini fulani ya thamani. Ngoja niuchukulie serious
 
Mkuu MC RAS PAROKO, hii inatwa De-javu, yaani unakutana na mtu unajiona uliisha wahi kumuona!, au unafika mahali papya kwa mara ya kwanza, unajiona kama uliishawahi kufika hapo!.

Sababu kuu ni mbili.
1. Huwa unatembea kwa astra travel, hivyo huyo mtu umekutana nae huko, au hapo mahali ulipatembelea hivyo kumbukumbu zimehifadhiwa kwenye sub-concious mind yako, unapomuona au kufika mahali hapo, phisical mind inalink na sub-concious na hivyo kukujulisha ulishamuona, au mahali hapo uliishafika!.
2.Remote viewing - Gathering of information at a distance. Hii ni kuwa kabla hujafika hapo, mind yako imetembelea hilo eneo au imemuona huyo mtu kabla, hivyo unapomuona, unajiona uliisha muona au hapo mahali uliishafika!.
3. Kwa waumini wa Hinduisim, Buddhiisn na Krisna, wanaamini kwenye life after life na life before life katika kitu wanachoita reincarnation, hivyo hoyo mtu ulikutana nae katika life before, na hapo mahali ulifika kwenye maisha yako ya before, hivi hayo maisha yako ya sasa ni "after life!".
Pasco.
iliwahi nikuta, niliota hio sehem sijawahi kufika kabisa lakini kuna siku tuliitwa nikawa sjui eneo tunalokutania huwezi amini had idadi ya minazi nilioiota ndio nilioikuta, kibaraza tulichokalia nilikiota hivohivo hadmtu aliepita na baskeli na had njia nakumbuka ilikua mwez wa ramadhan skuelewa kabisa mantiki ya ndoto ile imekuaje niote nije niishi uhalisia??


kuna siku nilisoma uzi wa rakims unahusu meditation, sikuwah kufanya hio nikasema ngoja nifanye usiku nikafanya ya kuhesab namba, nilikua naona kama mwanga unaenda unajigonga unarudi hivohivo yan kama sauti ua mlio bang jinsi inavyomalizikia ndio niliona, mkono wa kulia ulivibrate na paji la uso liliniuma sjajaaribu tena ila had leo ila nilipojaribu kulala baada ya hio mguu ulifanya kama kushtuka je hii itakua nn??
 
iliwahi nikuta, niliota hio sehem sijawahi kufika kabisa lakini kuna siku tuliitwa nikawa sjui eneo tunalokutania huwezi amini had idadi ya minazi nilioiota ndio nilioikuta, kibaraza tulichokalia nilikiota hivohivo hadmtu aliepita na baskeli na had njia nakumbuka ilikua mwez wa ramadhan skuelewa kabisa mantiki ya ndoto ile imekuaje niote nije niishi uhalisia??
Kuna ndoto za kweli ambapo physical body inakuwa imelala, lakini astra inakuwa imeamka na kwenda eneo hilo, hivyo ni kweli hilo eneo uliliona.
kuna siku nilisoma uzi wa rakims unahusu meditation, sikuwah kufanya hio nikasema ngoja nifanye usiku nikafanya ya kuhesab namba, nilikua naona kama mwanga unaenda unajigonga unarudi hivohivo yan kama sauti ua mlio bang jinsi inavyomalizikia ndio niliona, mkono wa kulia ulivibrate na paji la uso liliniuma sjajaaribu tena ila had leo ila nilipojaribu kulala baada ya hio mguu ulifanya kama kushtuka je hii itakua nn??
Hili ni kumpelekea Rakims mwenyewe ndio mambo zake
P
 
Since 2013 lakn uzi bdo unaishi...kuna mtu aliuliza kuw hzo psychic powerz zmeelezea life after death ama la? bdo hajajibiwa nadhan ! mwenye jibu tafadhali.
Yes uzi umezungumza yote kule kwenye links mambo ya life after life na reincarnation ni mambo ya angalia link no. 41 . Buddhism na No. 58. Hinduism
P
 
Kuna ndoto za kweli ambapo physical body inakuwa imelala, lakini astra inakuwa imeamka na kwenda eneo hilo, hivyo ni kweli hilo eneo uliliona.

Hili ni kumpelekea Rakims mwenyewe ndio mambo zake
P
nimefrahi umenijibu mkuu, kwa mfano ukiwa unamuwazia mtu ambae hujaonana naye muda mrefu then ukimuulizia unaambiwa amefariki ni kitu gani?? kuna watu tulikua tunaelewana maisha yakatutenganisha japo mkoa ni huohuo mmoja siku namfikiria najisemea nitaenda kazini kwake kumsalimia ananijia mno akilini napigiwa sim naambiwa huyo ameshafariki inanitokea sana sana kuna ujumbe gan
 
Back
Top Bottom