'Pubic hair' sio uchafu

'Pubic hair' sio uchafu

Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapimziko ya weekend bila stress!

Twende kwa mada!
Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo 💯/💯!
Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama uchafu! .... NEHI! NO! HAPANA! YAYA! mavuzi kama mavuzi sio uchafu, bali ni CHACHANDU, ... kinachomata ni usafi na utunzaji wa muhusika! Mimi binafsi huwa sipendi mtu anayenyoa vuzi loote mpaka anakuwa kama kuku aliyenyonyolewa! 😅

MAONI YENU MUHIMU WADAU!
Lijivuzi la kizungu au la kimakonde unaloliongelea?
 
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapimziko ya weekend bila stress!

Twende kwa mada!
Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo [emoji817]/[emoji817]!
Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama uchafu! .... NEHI! NO! HAPANA! YAYA! mavuzi kama mavuzi sio uchafu, bali ni CHACHANDU, ... kinachomata ni usafi na utunzaji wa muhusika! Mimi binafsi huwa sipendi mtu anayenyoa vuzi loote mpaka anakuwa kama kuku aliyenyonyolewa! [emoji28]

MAONI YENU MUHIMU WADAU!

Kwamin naona niuchafu coz kitu chochte kikizid uwa nikelo atamim naamin unanyoa zikiwa nying
 
Hizi nywele zote kwanzia Ndevu, Armpits na Pubic hairs zina faida zake mwilini hasa Armpits na Pubic hair.

Pubic hair sio uchafu ila huonekana uchafu kwa sababu kuu mbili;-
1. Personal Preferences.
2. Your Partner's Preferences.

Faida za Pubic hair;-
-Reducing friction.
-Prevent bacteria and other microorganism from transmitting to others.
-Maintain the optimal temperature for the genitals region.
-Trapping pheromones.

so pamoja na wanaoona ni uchafu ila zijueni hiz ndio faida zake!
 
... mswahili buanaaa! ... hata mtu akiwa na kile kikwapa cha mbaali kinachohamasisha wenyewe huuita uchafu! ... tokea watu wajifunze kuoga hatusemi! 😅
 
Back
Top Bottom